MBUNGE WA KAWE HALIMA MDEE ATUPWA RUMANDE
Mbunge
wa Kawe, Halima Mdee akiwasili katika Kituo Kikuu cha Polisi jijini Dar
es Salaam kwa ajili ya mahojiano kuhusiana na tuhuma za shambulio la
mwili kwa Katibu Tawala Mkoa wa Dar es Salaam, Theresia Mbando. Mbunge huyo alinyimwa dhamana na kutupwa rumande. (Picha na Francis Dande)
Halima
Mdee (katikati) akiwa na mbunge wa Bunda, Ester Bulaya (wa pili
kushoto) pamoja na wafuasi wa Chadema wakati akielekea mahabusu.
Mbunge
wa Kawe, Halima Mdee akisindikizwa na Ofisa wa Polisi, nyumba yake
aliyeshika faili kuelekea mahabusu baada ya kunyimwa dhamana katika
Kituo Kikuu cha Polisi jijini Dar es Salaam.
Comments
Post a Comment