MAKAMU WA RAIS ASHIRIKI TUKIO LA KIHISTORIA LA MAADHIMISHO YA SIKU YA WANAWAKE DUNIANI.
Makamu
wa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Samia Suluhu Hassan,
akitoa risala yake ya ufunguzi kwenye Maadhimisho ya siku ya Kimataifa
ya Wanawake Duniani jijini Dar es salaam jana jioni katika tukio
lililoandaliwa na Kazi Services Ltd kwa kushirikiana na Chama cha
Waajiri nchini (ATE) na kudhaminiwa na mdhamini Mkuu Shirika la Nyumba
la Taifa (NHC).
Balozi
Dk Asharose Mtengeti Migiro akitoa ushuhuda wake wa namna alivyoweza
kufanikiwa katika maisha pamoja na vikwazo vingi kwenye mfumo dume,
kwenye Maadhimisho ya siku ya Kimataifa ya Wanawake Duniani jijini Dar
es salaam jana jioni katika tukio lililoandaliwa na Kazi Services Ltd
kwa kushirikiana na Chama cha Waajiri nchini (ATE) na kudhaminiwa na
mdhamini Mkuu Shirika la Nyumba la Taifa (NHC).
Makamu
wa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Samia Suluhu Hassan,
akiwa katika picha ya pamoja na wadhamini wakuu wa tukio hilo la
kihistoria kupata kutokea kwa kina mama Shirika la Nyumba la Taifa.
Mkuu
wa Kitengo cha Mawasiliano na Huduma kwa Jamii cha Shirika la Nyumba la
Taifa, Susan Omari akisalimiana na washiriki wenzake kwenye Maadhimisho
ya siku ya Kimataifa ya Wanawake Duniani jijini Dar es salaam jana
jioni katika tukio lililoandaliwa na Kazi Services Ltd kwa kushirikiana
na Chama cha Waajiri nchini (ATE) na kudhaminiwa na mdhamini Mkuu
Shirika la Nyumba la Taifa (NHC).
Mkuu
wa Kitengo cha Mawasiliano na Huduma kwa Jamii cha Shirika la Nyumba la
Taifa, Susan Omari katika picha ya pamoja na washiriki wenzake kwenye
Maadhimisho ya siku ya Kimataifa ya Wanawake Duniani jijini Dar es
salaam jana jioni katika tukio lililoandaliwa na Kazi Services Ltd kwa
kushirikiana na Chama cha Waajiri nchini (ATE) na kudhaminiwa na
mdhamini Mkuu Shirika la Nyumba la Taifa (NHC).
Washiriki
kutoka Shirika la Nyumba la Taifa katika meza ya pamoja kwenye

salaam jana jioni.

salaam jana jioni
Makamu wa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Samia Suluhu Hassan, akiwasilia ukumbini na kusalimiana na kina mama.
Washiriki
kutoka Shirika la Nyumba la Taifa katika meza ya pamoja kwenye
Maadhimisho ya siku ya Kimataifa ya Wanawake Duniani jijini Dar es
salaam jana jioni
Washiriki
kina mama kutoka kada mbalimbali wakifuatilia jambo kwenye Maadhimisho
ya siku ya Kimataifa ya Wanawake Duniani jijini Dar es salaam jana jioni

Mwenyekiti
wa Chama cha Wafanyakazi Shirika la Nyumba, Lilian Reuben akiwa na
mmoja wa watoa mada kwenye Maadhimisho ya siku ya Kimataifa ya Wanawake
Duniani jijini Dar es salaam jana jioni.
Mkuu
wa Kittengo Ukaguzi wa Ndani wa Shirika la Nyumba la Taifa, Fatuma
Chillo akitoa neno la mdhamini mkuu wa Shughuli hiyo Shirika la Nyumba
la Taifa ambapo aliwahimiza kina mama kujiimarisha kwa kumiliki nyumba
kama uwekezaji wenye tija katika familia.
Mkuu
wa Kitengo cha Mawasiliano na Huduma kwa Jamii cha Shirika la Nyumba la
Taifa, Susan Omari akipokea cheti cha utambuzi wa udhamini mkuu wa
tukio hilo kubwa kabisa kupata kutokea nchini.
Mwakilishi kutoka NBC akipokea cheti cha utambuzi wa udhamini wa tukio hilo kubwa kabisa kupata kutokea nchini.
Washiriki
kutoka Shirika la Nyumba la Taifa katika meza ya pamoja kwenye
Maadhimisho ya siku ya Kimataifa ya Wanawake Duniani jijini Dar es
salaam jana jioni
Comments
Post a Comment