Jack: Wakwe mnisamehe kwa uvaaji wangu


jack dustanNa Imelda Mtema
Mrembo ambaye ni zao la Maisha Plus, Jacqueline Dustan amefunguka kuwa wakati akielekea kufunga ndoa na mchumba wake wa siku nyingi, kwa upande wa nguo fupi wakwe zake wamsamehe kwani hataacha.
Jack alisema kuwa anaipenda ndoa ila linapokuja suala la kuvaa mavazi ya nusu utupu wakweze wasimmaindi kwani ameshazoea kujiachia.
“Uvaaji wangu unajulikana, eti nibadilike maana naolewa, hee..mniache na hao wakwe wanizoee kwa hilo,” alisema Jack.

Comments

Popular posts from this blog