BREAKING NEWZ:Takukuru Imewapandisha Kortini Wabunge Hawa Leo kwa Rushwa.
Kutoka
kushoto ni Mbunge wa Jimbo la Mwibara, Mh. Kangi Lugola, Mbunge wa
Mvomero Mh. Sadiq Murad pamoja na Mbunge wa Lupa Mh. Victor Mwambalaswa.
Wakijadiliana jambo
Dar es Salaam
Taasisi ya Kuzuia na
Kupambana na Rushwa nchini (TAKUKURU), leo imewaburuza kwenye Mahakama
ya Kisutu jijini Dar, wabunge wa 3 wa Kamati za Kudumu za Bunge la
Jamhuri ya Muungano wa Tanzania wanaotuhumiwa kwa rushwa.
Wabunge hao ni Mbunge wa jimbo la
Mwibara, Mh. Kangi Lugola, Mbunge wa Mvomero Mh. Sadiq Murad pamoja na
Mbunge wa Mh.Victor Mwambalaswa.
Taarifa zaidi za tukio hilo zitawajia kadri tutakavyozipata.
Comments
Post a Comment