Breaking News!! LEMBELI APIGWA CHINI KESI YA UBUNGE KAHAMA


Habari tulizozipata hivi punde kutoka Kahama mkoani Shinyanga ni kwamba aliyekuwa mgombea ubunge jimbo la Kahama James Lembeli(Chadema) ameshindwa katika kesi ya Ubunge jimbo la Kahama iliyokuwa inaendelea mahakamani.
Lembeli alikuwa amefungua kesi kupinga ushindi wa Jumanne Kishimba ambaye sasa ni mbunge wa jimbo la Kahama kwa tiketi ya CCM.
...Taarifa kamili tutawaletea hivi punde...

Comments

Popular posts from this blog