WAZIRI NAPE AONGEZA HAMASA MECHI YA WATANI WA JADI SIMBA NA YANGA
Waziri
wa Habari, Utamaduni, Sanaa na Michezo Mhe. Nape Moses Nnauye
akisalimiana na Waziri wa Kilimo, Mifugo na Uvuvi Mhe. Mwigulu Lameck
Nchemba (kushoto)walipokutana katika mchezo wa watani wa jadi kati ya
Yanga Afrika na Simba Sports Club katika Uwanja wa Taifa leo jijini Dar
es Salaam.(Picha na: Frank Shija,WHUSM)
Waziri
wa Habari, Utamaduni, Sanaa na Michezo Mhe. Nape Moses Nnauye
akisalimiana na mashabiki wa mpira wa miguu wakati wa mchezo wa watani
wa jadi kati ya Yanga Afrika na Simba Sports Club katika Uwanja wa Taifa
leo jijini Dar es Salaam.
Waziri
wa Habari, Utamaduni, Sanaa na Michezo Mhe. Nape Moses Nnauye
akisalimiana na mashabiki wa mpira wa miguu wakati wa mchezo wa watani
wa jadi kati ya Yanga Afrika na Simba Sports Club katika Uwanja wa Taifa
leo jijini Dar es Salaam.
Mabeki
wa Timu ya Simba wakiokoa mpira wa hatari katika lango lao wakati wa
mechi dhidi ya Yanga iliyochezwa katika Uwanja wa Taifa leo jijini Dar
es Salaam.Mechi hiyo imeisha kwa wenyeji Yanga Afrika kuibuka kidedea
kwa mabao 2:0.
Waziri
wa Kilimo, Mifugo na Uvuvi Mhe. Mwigulu Lameck Nchemba akishangilia
mara baada ya Donald Ngoma kuiandikia Yanga bao la kwanza mnamo Dakika
ya 38 ya mchezo uliofanyika katika Uwanja wa Taifa leo jijini Dar es
Salaam. Hadi dakika 90 zinayoyoma Simba SC ililala kwa mabao 2 : 0.
Mbunge
wa Jimbo la Kilolo mkoani Iringa, Mhe. Venance Mwamoto akifuatilia
mchezo kati ya Yanga Afrika na Simba SC uliofanyika katika Uwanja wa
Taifa leo jijini Dar es Salaam. Hadi dakika 90 zinayoyoma Simba SC
ililala kwa mabao 2 : 0.
Mashabiki
wa Timu ya Simba SC wakifuatilia mchezo kati yao na Yanga Afrika
uliofanyika katika Uwanja wa Taifa leo jijini Dar es Salaam. Hadi dakika
90 zinayoyoma Simba SC ililala kwa mabao 2 : 0.
Comments
Post a Comment