WAZIRI MKUU KASSIM MAJALIWA AWASILI DODOMA


KASSIMWaziri Mkuu, Kassim Majaliwa akisalimiana na Mkuu wa Mkoa wa Dodoma,Chiku Galawa baada ya kuwasili kwenye uwanja wa ndege wa Dodoma January 20, 2016 ambako pamoja na mambo mengine anatarajiwa  kuhudhuria vikao vya Bunge. Kulia ni mkewe Mary.
(Picha na Ofisi ya Waziri Mkuu)

Comments

Popular posts from this blog