SPIKA WA BUNGE AENDA KUMFARIJI MAMA MARIA NYERERE
Spika
wa Bunge Mhe Job Ndugai akiweka saini kitabu cha maombolezo
alipokwenda kutoa pole Mama Maria Nyerere Mjane wa Baba wa Taifa Mwalimu
Nyerere kwa kufiwa na mkwewe Leticia Nyerere leo tarehe 13 Januari
Msasani jijini Dar es Salaam.
Spika
wa Bunge Mhe Job Ndugai akimfariji Bi. Rose Nyerere binti wa Baba wa
Taifa Mwalimu Nyerere alipokwenda kuwafariji kufuatia kuondokewa na
Mpedwa wao Leticia Nyerere.
Spika
wa Bunge Mhe Job Ndugai akimsalimia Mama Maria Nyerere Mjane wa Baba wa
Taifa Mwalimu Nyerere alipokwenda nyumbani kwake kumpa pole kufuatia
kifo cha mkwewe wake Leticia Nyerere.
Spika
wa Bunge Mhe Job Ndugai akimsikiliza Mama Maria Nyerere Mjane wa Baba
wa Taifa Mwalimu Nyerere (aliyekaa katikati) wakati alipokwenda kumpa
pole kufuatia kifo cha mkwewe wake Leticia Nyerere. Aliyekaa kulia ni
Mmoja wa Wasemaji wafamilia Bw. John Shibuda.
Spika
wa Bunge Mhe Job Ndugai akizungumza na Mama Maria Nyerere Mjane wa
Baba wa Taifa Mwalimu Nyerere wakati alipokwenda kumpa pole kufuatia
kifo cha mkwewe wake Leticia Nyerere. Aliyekaa kushoto ni Bi. Rose
Nyerere.
Spika
wa Bunge akiwa na wanafamilia wa Baba wa Taifa Mwalimu Nyerere akiwemo
Mama Maria alipokwenda kuwafariji kufuatia kifo cha mpedwa wao Leticia
Nyerere.
Spika
wa Bunge akiwa katika picha ya pamoja na wanafamilia wa Baba wa Taifa
Mwalimu Nyerere akiwemo Mama Maria alipokwenda kuwafariji kufuatia kifo
cha mpedwa wao Leticia Nyerere.
Spika
wa Bunge akisalimia familia ya Baba wa Taifa Mwalimu Nyerere
alipokwenda kuwafariji kufuatia kifo cha mpedwa wao Leticia Nyerere.
(Picha na Ofisi ya Bunge)
Comments
Post a Comment