RUVU YAKUBALI KICHAPO CHA MABAO 2 -0 KUTOKA KWA SIMBA
Mshambuliaji
wa Simba, Daniel Lyanga akielekea kuifungia timu yake bao la pili dhidi
ya JKT Ruvu baada ya kumtoka golikipa wa JKT Ruvu, Hamis Seif katika
mchezo wa Ligi Kuu ya Soka Tanzania Bara uliofanyika kwenye Uwanja wa
Taifa jijini Dar es Salaam leo. Simba ilishinda 2-0. (Picha na Francis
Dande)
Raha ya ushindi.
Kutoka
kushoto, Amis Kiiza, Daniel Lyanga na Kihongera Raphael wakishangilia
bao la pili la timu ya Simba lililofungwa na Lyanga.
Comments
Post a Comment