RAIS DKT JOHN POMBE JOSEPH MAGUFULI AONGOZA WAOMBOLEZAJI KUAGA MWILI WA MAREHEMU LETICIA NYERERE
Rais
wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dkt. John Pombe Joseph Magufuli
akisalimiana na Rais mstaafu Dkt. Jakaya Mrisho Kikwete nyumbani kwa
Baba wa Taifa Msasani Dar es salaam wakati wa kuaga mwili wa aliyekua
Mbunge wa Viti Maalum (Chadema) Marehemu Leticia Nyerere aliyefariki
mwishoni mwa wiki Nchini Marekani alikokuwa akitibiwa leo Januari 20,
2016.
Rais
wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dkt. John Pombe Joseph Magufuli
akisalimiana na waombolezaji wakati wa kuaga mwili wa aliyekua Mbunge wa
Viti Maalum (Chadema) Marehemu Leticia Nyerere aliyefariki mwishoni mwa
wiki Nchini Marekani alikokuwa akitibiwa leo Januari 20, 2016.
Rais
wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dkt. John Pombe Joseph Magufuli
akiweka saini katika kitabu cha maombolezo wakati wa kuaga mwili wa
aliyekua Mbunge wa Viti Maalum (Chadema) Marehemu Leticia Nyerere
aliyefariki mwishoni mwa wiki Nchini Marekani alikokuwa akitibiwa leo
Januari 20, 2016.
Rais
wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dkt. John Pombe Joseph Magufuli na
mkewe Mama Janeth Magufuli wakitoa heshima zao za mwisho wakati wa
kuaga mwili wa aliyekua Mbunge wa Viti Maalum (Chadema) Marehemu Leticia
Nyerere aliyefariki mwishoni mwa wiki Nchini Marekani alikokuwa
akitibiwa leo Januari 20, 2016.
Rais
wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dkt. John Pombe Joseph Magufuli
akimfariji mume wa marehemu Bw. Madaraka Nyerere wakati wa kuaga mwili
wa aliyekua Mbunge wa Viti Maalum (Chadema) Marehemu Leticia Nyerere
aliyefariki mwishoni mwa wiki Nchini Marekani alikokuwa akitibiwa leo
Januari 20, 2016. Kulia ni Mjane wa Baba wa Taifa Mama Maria Nyerere.
Comments
Post a Comment