PICHA ZA HALFA FUPI YA KUMPONGEZA MBWANA SAMATTA HYATT REGENCY
Serikali
immempatia zawadi ya kiwanja na pesa ambazo thamani yake haijajulikana
mchezaji bora wa Afrika Mbwana Samatta, Hayo yalisemwa jana na Mgeni
Rasmi katika halfa hiyo Waziri William Lukuvi. Sherehe hizo zilifanyika
kwenye hoteli ya Hyatt Regency jijini Dar.
Waziri wa Michezo Nape Nnauye akiwa na wazazi wa Mbwana Samatta
Mwakilishi wa Vodacom akitoa neno
Mchezaji Thomas Ulimwengu akifurahia jambo na mdau.
Mbwana Samatta akimpa zawadi ya jezi Waziri Lukuvi
Comments
Post a Comment