Mkurugenzi Mamlaka ya Viwanja vya Ndege afariki dunia

20160118001711 
Mkurugenzi Mkuu wa Mamlaka ya Viwanja vya Ndege Tanzania (TAA), Mhandisi Suleiman Said enzi za uhai wake.
Mkurugenzi Mkuu wa Mamlaka ya Viwanja vya Ndege Tanzania (TAA), Mhandisi Suleiman Said amefariki dunia mapema leo asubuhi akiwa katika mazoezi ya kuogelea,taarifa zinaeleza kuwa baada ya tukio hilo Bwa.Suleiman alikimbizwa hospitali ya Agakhan kwa matibabu, na baadae ikaelezwa kuwa amekwisha fariki na kuwa mazishi yanatarajiwa kufanyika leo.

Comments

Popular posts from this blog