HUU NDO MWONEKANO MPYA WA MSANII LULU BAADA YA KUKATA NYWELE NA KUZIWEKEA RANGI
Get link
Facebook
X
Pinterest
Email
Other Apps
NA HAYA NDO MANENO ALIYO YAANDIKA MTANDAONI KWAKE
Kuna Msemo Unasema "NDEGE WANAOFANANA HURUKA PAMOJA" hii misemo huwa inamaana sana Kwa akili yangu ndogo nilijaribu kuuweka huu Msemo katika Maisha ya kawaida Na nikagundua Una asilimia kubwa ya ukweli
Katika
Maisha yetu ya mahusiano,urafiki,undugu,ujamaa Na hata ushabiki sio
kwamba mambo yanatokeaga Kama miujiza tu,Mfano kwenye urafiki Huwezi
kuwa Na Urafiki Na mtu ambaye hamuendani ki mawazo Na mtazamo,mnaweza
kutofautiana Muonekano Na kila mtu nje akawa anashangaa lkn ndani yetu
mna strong chemistry ambayo inawafanya muwe marafiki,kama Wewe Una
character ya umbea Huwezi ukadumu Na rafiki ambaye ana character ya Ucha
Mungu...itabidi upate rafiki mwenye character,maono Na mitazamo Kama
yako ili kuweza kuruka pamoja Kwenye
mahusiano ya Mapenzi iko hvyo pia...mtu anaweza kuwa Na mahusiano Na
mtu Na watu nje wasimuelewe imekuwaje ameamua kuwa Na mtu wa aina
hyo,pengine NI mtu ambaye hawaendani lbs Kwa Muonekano wa nje...point NI
ile ile kuna chemistry ambayo iko ndani Yao yenye kuwafanya wawe Na
mawazo sawa,maono sawa Na tabia zinazoendana Hata Kama sio asilimia
kubwa...hyo NDO inayowafanya wawe pamoja bila kujali Umri,Muonekano au
kitu chochote cha Muonekano wa nje..! Iko hvyo hata Kwa watu
wanaokuzunguka,wanaokupenda Na kukuchukia...utapendwa Na watu mnaoendana
tu wengine ambao hamna Aina yoyote Na uendano kwanza lazima wasikuelewe
Na wasikupende pia kwasababu huna ambacho wanacho moyoni Kwa
kichwani��haitokei tu from no where japo Kwa akili Za kawaida unaweza
ukachukulia hvyo lkn Kiukweli Hivi NI vitu ambavyo vinaanza ndani
yetu(Mioyoni) Na kuonekana nje NI matokeo ya mwisho kbsa..! Usione
ajabu Wala kujisikia vibaya ukiona aina flani ya Marafiki
inaondoka,Aina flani ya ndugu hupatani nao au Aina flani ya watu
hawakupendi...Jua tu Hufanani Nao✌️wasikukwaze Tafuta unaofanana nao�� Asubuhi Njema..!✌️
Msichana aliyefahamika kwa jina la Seche Mautamu, amebainika kujiuza kupita mtandao wa kijamii wa facebook kwa kuweka picha zake za utupu. Chini ni picha zake alizozisambaza mtandaoni kupitia account yake ya facebook. Ukienda kwenye profile yakenenda kwenye About utaona AMESEMA anasoma UDOM! - See more at: http://shiladeux.blogspot.com/2014/03/picha-za-utupu-zilizopigwa-na.html#sthash.f2P9nVLX.dpuf
Ilikuwa asubui Ya kuamkia Leo NiLipo washa sim yangu na kukutana na hiziz picha kwenye group moja hivi whatsapp Jamaa alio zituma inadaiwa kuwa alikuwa na mausiano na Huyu mwanadada aliepiga picha za utupu
huyu ni binti anayejulikana kwa jina la J esca Kikumbi anayesoma chuo kikuu aliyeamua kupiga picha zake na kizonesha facebook [asipokujua alikuwa na malengo gani? NINI MAONI YAKO NDUGU MDAU WETU
Comments
Post a Comment