Waziri Makamba, Naibu Waziri Mpina Wakabidhiwa Ofisi


mah1Waziri wa Nchi Ofisi ya Makamu wa  Rais- Mazingira na Muungano Mh. January Makamba akipokea nyaraka za  Ofisi wakati akikabidhiwa Ofisi na Waziri aliyemaliza muda wake Dk.  Binilith Mahenge Ofisini Mtaa wa Luthuli Dar es Salaam.mah2Naibu Waziri Ofisi ya Makamu wa  Rais- Mazingira na Muungano Mh. Luhaga Mpina akikabidhiwa nyaraka za  Ofisi na Naibu Waziri aliyemaliza muda wake Mh. Stephen Masele .  Makabidhiano hayo yalifanyika Ofisini jijini Dar es Salaam.mah3Katibu Mkuu wa Ofisi ya Makamu wa  Rais akiwa Bwana Sazi Salula akiwa katika picha ya pamoja na Waziri wa  Nchi Ofisi ya Makamu wa Rais- Mazingira na Muungano Mh. January Makamba  na Waziri aliyemaliza muda wake Dkt. Binilith Mahenge mara baada ya  makabidhiano ya Ofisi.

Comments

Popular posts from this blog