SHEREHE ZA KUAPISHWA WAZIRI MKUU WA AWAMU YA TANO VIWANJA VYA IKULU NDOGO CHAMWINO MJINI DODOMA
Rais
Dkt. John Pombe Magufuli, akimwapisha Mhe. Majaliwa Kassim Majaliwa,
kuwa Waziri Mkuu wa awamu ya tano, wakati wa sherehe hizo zilizofanyika
leo Nov 20, 2015 kwenye Viwanja vya Ikulu ndogo Chamwino mjini Dodoma.
Rais
Dkt. John Pombe Magufuli, akimkabidhi nyaraka za Serikali baada ya
kumwapisha Mhe. Majaliwa Kassim Majaliwa, kuwa Waziri Mkuu wa awamu ya
tano, wakati wa sherehe hizo zilizofanyika leo Nov 20, 2015 kwenye
Viwanja vya Ikulu ndogo Chamwino mjini Dodoma.
Makamu
wa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Mhe. Samia Suluhu Hassan,
akimpongeza Waziri Mkuu mpya wa awamu ya Tano, Mhe. Majaliwa Kassim
Majaliwa baada ya kuapishwa rasmi leo kwenye Viwanja vya Ikulu ndogo
Chamwino mjini Dodoma, leo Nov 20, 2015.
Rais
Dkt. John Magufuli (katikati) akiwa katika picha ya pamoja na Makamu
wake, Mhe. Samia Suluhu Hassan (kushoto) na Waziri Mkuu Majaliwa Kassim
Majaliwa, baada ya kuapishwa Waziri huyo Mkuu kwenye Viwanja vya Ikulu
Ndogo Chamwino mjini Dodoma leo.
Makamu
wa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Mhe. Samia Suluhu Hassan,
akisalimiana na Mbunge wa Ilemela, Angelina Mabula kwenye viwanja vya
Ikulu ndogo Chamwino wakati wa sherehe za kuapishwa Waziri Mkuu mpya wa
awamu ya Tano, Mhe. Majaliwa Kassim Majaliwa zilizofanyika leo Nov
20,2015 mjini Dodoma.
Makamu
wa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Mhe. Samia Suluhu Hassan,
akizungumza na mtoto Majaliwa mtoto wa Waziri Mkuu mpya kwenye viwanja
vya Ikulu ndogo Chamwino wakati wa sherehe za kuapishwa Waziri Mkuu mpya
wa awamu ya Tano, Mhe. Majaliwa Kassim Majaliwa zilizofanyika leo Nov
20,2015 mjini Dodoma.
Makamu
wa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Mhe. Samia Suluhu Hassan,
akisalimiana na kuwapongeza baadhi ya Wabunge wapya wa bunge la 11,
walipokutana kwenye viwanja vya Ikulu ndogo Chamwino wakati wa sherehe
za kuapishwa Waziri Mkuu mpya wa awamu ya Tano, Mhe. Majaliwa Kassim
Majaliwa zilizofanyika leo Nov 20, 2015 mjini Dodoma.
Makamu
wa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Mhe. Samia Suluhu Hassan,
akisalimiana na Mbunge wa Viti Maalum Mkoa wa Singida, Martha Mlata,
kwenye viwanja vya Ikulu ndogo Chamwino wakati wa sherehe za kuapishwa
Waziri Mkuu mpya wa awamu ya Tano, Mhe. Majaliwa Kassim Majaliwa
zilizofanyika leo Nov 20,2015 mjini Dodoma.
Makamu
wa Rais Mstaafu wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Dkt. Mohammed
Gharib Bilal, akimpongeza Waziri Mkuu mpya wa awamu ya Tano, Mhe.
Majaliwa Kassim Majaliwa baada ya kuapishwa rasmi leo kwenye Viwanja vya
Ikulu ndogo Chamwino mjini Dodoma, leo Nov 20, 2015.
Makamu
wa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Mhe. Samia Suluhu Hassan,
akisalimiana na Mbunge wa Peramiho, Mhe Jenister Mhagama, kwenye viwanja
vya Ikulu ndogo Chamwino wakati wa sherehe za kuapishwa Waziri Mkuu
mpya wa awamu ya Tano, Mhe. Majaliwa Kassim Majaliwa zilizofanyika leo
Nov 20,2015 mjini Dodoma.
Waziri
Mkuu mpya wa awamu ya Tano, Mhe. Majaliwa Kassim Majaliwa, akimpongezwa
na mkewe baada ya kuapishwa rasmi leo kwenye Viwanja vya Ikulu ndogo
Chamwino mjini Dodoma, leo Nov 20, 2015.
Makamu
wa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Mhe. Samia Suluhu Hassan,
akisalimiana na Mbunge wa Viti Maalum Mkoa wa Mjini Magharibi, Asham
Abdallah Juma, kwenye viwanja vya Ikulu ndogo Chamwino wakati wa sherehe
za kuapishwa Waziri Mkuu mpya wa awamu ya Tano, Mhe. Majaliwa Kassim
Majaliwa zilizofanyika leo Nov 20,2015 mjini Dodoma.
Makamu
wa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Mhe. Samia Suluhu Hassan,
akisalimiana na Mbunge wa Nzega, Hussein Bashe, kwenye viwanja vya Ikulu
ndogo Chamwino wakati wa sherehe za kuapishwa Waziri Mkuu mpya wa awamu
ya Tano, Mhe. Majaliwa Kassim Majaliwa zilizofanyika leo Nov 20,2015
mjini Dodoma.
Makamu
wa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Mhe. Samia Suluhu Hassan,
akisalimiana na Mbunge wa Shinyanga mjini Stephen Masele , kwenye
viwanja vya Ikulu ndogo Chamwino wakati wa sherehe za kuapishwa Waziri
Mkuu mpya wa awamu ya Tano, Mhe. Majaliwa Kassim Majaliwa zilizofanyika
leo Nov 20,2015 mjini Dodoma.
Makamu
wa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Mhe. Samia Suluhu Hassan,
akisalimiana na Mbunge Mchengerwa kwenye viwanja vya Ikulu ndogo
Chamwino wakati wa sherehe za kuapishwa Waziri Mkuu mpya wa awamu ya
Tano, Mhe. Majaliwa Kassim Majaliwa zilizofanyika leo Nov 20,2015 mjini
Dodoma.
Makamu
wa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Mhe. Samia Suluhu Hassan,
akisalimiana na Mbunge wa Viti maalum Kaskazini Unguja, Angela
Malembeka, kwenye viwanja vya Ikulu ndogo Chamwino wakati wa sherehe za
kuapishwa Waziri Mkuu mpya wa awamu ya Tano, Mhe. Majaliwa Kassim
Majaliwa zilizofanyika leo Nov 20,2015 mjini Dodoma.
Makamu
wa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Mhe. Samia Suluhu Hassan,
akiwa katika picha ya pamoja na baadhi ya wananchi waliohudhuria sherehe
hizo kwenye viwanja vya Ikulu ndogo Chamwino wakati wa sherehe za
kuapishwa Waziri Mkuu mpya wa awamu ya Tano, Mhe. Majaliwa Kassim
Majaliwa zilizofanyika leo Nov 20,2015 mjini Dodoma. Picha na OMR
Comments
Post a Comment