Maandalizi ya tendo la ndoa (Foreplay).
Kabla ya hili tunda kuliwa kuna
umuhimu wa kuhakikisha linaandaliwa kwa uhakika na wewe unayetaka kulila
ili uweze kulifaidi vizuri, si suala na kukurupuka na kulivamia bila
maandalizi mazuri na ya kutosha. Kuna tofauti kubwa sana kati ya mwanaume na mwanamke linapokuja suala la tendo la ndoa au kufanya mapenzi au sex.
Je, maandalizi ya tendo la ndoa (foreplay) ni nini?Ni kitu kinachofanyika kati ya wakati mmetoa nguo zote na kabla ya mwanaume kuingiza uume kwenye uke.
Ni kubusiana, kugusana, na kuchezeana hadi mnakuwa mmesisimka vya kutosha kwa ajili ya tendo la ndoa.
Ni kuuungana kihisia, kiroho na kimwili kwa muda wa kutosha kabla ya tendo la ndoa
Ni msingi na kitu muhimu kwa ajili ya kuhakikisha unapata tendo la ndoa lenye kuridhisha.
Ni sanaa ya kuelezea upendo na kukaribishana kwa ajili ya tendo la ndoa.

Ni muhimu kwa ajili ya kumwandaa mwanamke kwa ajili ya tendo la ndoa.
Ni kumhusisha partner wako vizuri zaidi kupata hisia za upendo na ukaribu kimahaba yeye kujiona mtu maalumu kwako
Ni aina ya meditation (kutafakari) ambapo hukusahaulisha na mambo ya dunia (ulimwengu wa nje) na kuondoa strees na kukuwezesha ku-focus kwenye mapenzi moja kwa moja (connection)na yule umpendaye.

Je, tofauti ya kuwahi kusisimka kwa mwanaume inaweza kuleta tatizo?Wanaume wana mzunguko mfupi sana kuamshwa kimapenzi (arousal), wakati wanawake wanamzunguko mrefu sana katika kuamshwa kimapenzi.
Ingawa pia uwezo wa kusisimka na kuamshwa kimapenzi unategemaa sana mambo yafuatayo:-
Ingawa pia uwezo wa kusisimka na kuamshwa kimapenzi unategemaa sana mambo yafuatayo:-
Umri - unavyozidi kuzeeka homoni hupungua hivyo kutumia muda zaidi.
Afya - kama unaumwa na dhaifu unahitaji muda zaidi.
Uzoefu na malezi - kama umelelewa na kuelezwa kama sex ni mbaya kazi ipo
Kuna matatizo mengi hujitokeza hasa kutokana na tofauti kubwa ya mzunguko wa kusisimuana na kuamshwa kimapenzi kati ya mwanaume na mwanamke na hii hupelekea hata baadhi ya wanandoa kujisikia vibaya na kutokupenda kabisa tendo la ndoa.
Kwa kuwa wanaume ndiyo husisimka haraka na kumaliza tendo la ndoa mapema kuliko wanawake ambao wakati mwingine kwanza ndo wanakuwa waanaanza kusisimka na kupata raha ya tendo.

Suala la msingi ili kuondoa matatizo ni wahusika kuwa na elimu au sayansi ya mwili na tendo la ndoa linavyokuwa.
Kama wote ni vilaza (mbumbumbu) na hawajui sayansi ya miili yao basi, mwanaume anaweza kudhani kwamba mwanamke anashindwa kuitikia msisimko anaompa, wakati huohuo mwanamke naye anaweza kudhani ana matatizo kwa kushindwa kusisimka haraka sawa na mwanaume anavyosisimka hivyo kukata tamaa na kujiona wote wana kasoro kumbe ni mzima na tatizo ni ufahamu wa miili yao wenyewe.
Hii tofauti ya kusisimka kimapenzi wakati wa tendo la ndoa wakati mwingine hupelekea kuathiri kabisa maisha ya mahaba kwenye ndoa hadi pale wote watakapofahamu vizuri mwitikio wa miili yao linapokuja suala la sex.

Je, unamchukua mwanaume dakika ngapi kufika kileleni?Kawaida mwanaume inamchukua dakika 3 tu kuweza kufika kileleni tangu asisimke kimapenzi, wakati mwanamke humchukua zaidi ya dakika 15 kufika kileleni tangu asisimke, hii ina maana kwamba bila maandalizi mazuri ya kusisimuana mwanaume huweza kufika kileleni hata kabla mwanamke hajaanza kusisimka na muda ambao mwanamke alitakiwa kufika kileleni mwanaume anakuwa tayari alishamaliza kazi zamani.
Utafiti unaonesha ni asilimia 20 au 30 tu ya wanawake hufika kileleni na tatizo kubwa ni kutokuandaliwa vizuri na wapenzi wao (wanaume) na maandalizi mazuri ndiyo siri pekee ya mwanamke kufika kileleni na hatimaye kufaidi utamu wa tendo la ndoa.
Mahusiano mazuri maana yake ni wawili ambao wanatimiziana mahitaji muhimu na hitaji muhimu katika ndoa ni pamoja na tendo la ndoa.
Suala la tendo la ndoa lina umuhimu sawa na maeneo mengine katika ndoa kama kazi, chakula nk.
Ni muhimu kuwa na maarifa kuhusu mwili na tendo la ndoa kwani waingereza wanasema
Knowledge is Power
Je, ni makosa gani (deadly) ambayo wanaume hufanya katika kumuandaa mwanamke?
(i) Kuwa na harakaWanaume wengi huwa na haraka ya tendo la ndoa bila kuzingatia umuhimu wa kumuandaa muhusika kwanza.
Wanawake
hutumia muda mrefu ili kusisimka ndiyo maana unahitaji kutumia muda
bila kuwa na haraka ili uweze kumsisimua na zaidi kuwa na sex nzuri na yenye kuridhishana.
Ni vizuri kutumia muda wa kutosha kumuaandaa na kama unaweza hata kumfikisha kileleni hata kabla ya kumwingilia.
(ii) Kukosa kujua sehemu muhimu za kuchezeaZaidi ya matiti, shingo na midomo (lips) na kisimi wanaume wengi hawajui ni sehemu zingine zipi ambazo wanawake huwasisimua zaidi.
(ii) Kukosa kujua sehemu muhimu za kuchezeaZaidi ya matiti, shingo na midomo (lips) na kisimi wanaume wengi hawajui ni sehemu zingine zipi ambazo wanawake huwasisimua zaidi.
Kuna sehemu zingine ambazo mwanamke akuguswa anaweza kusisimka haraka zaidi.
Tumbo, matako, mapaja, nyuma ya shingo, mabega, mgongo, sehemu iliyopo kati ya uke na nyuma
Tumbo, matako, mapaja, nyuma ya shingo, mabega, mgongo, sehemu iliyopo kati ya uke na nyuma
(kutumia mtandao wa Vodacom au tigo ni dhambi kubwa kabisa tena ukome kama una hayo mawazo, mwenye hekima na afahamu naongea nini)
Hizi sehemu ni muhimu sana kwake kuguswa wakati wa kumuandaa.
Pia lazima uwe mtundu kuweza kusoma lugha yake na jinsi nini anakifurahia na nini hafurahii wakati wa maandalizi.
(iii) Kuwa bubu bila kuongea maneno matamu na kumsifiaWakati wa tendo zima la kufanya mapenzi wanawake wanategema mwanaume awe anaongea si kuwa bubu na kuongea huanzia kwenye maandalizi na kama wewe ni fundi wa kuongea basi hutachukua muda mrefu kuhakikisha moto umewaka.

Kuna maneno matamu, kwenye mapenzi maneno matamu yapo ya aina mbili, kwanza ni dirty words (mfano uke kwa jina jingine unaitaje vile au uume kwa jina jingine unaitaje vile)
na pili maneno ya kumsifia juhudi yake au alivyo na umbo zuri. Dirty
words husaidia kumsisimua na kupa nyege zaidi na maneno ya sifa
husababisha atoe juice zaidi.
(iv) Kubusu kwa kinyaa au bila UstaarabuWakati unambusu usiache mimate kila mahali uwe mstaarabu pia usioneshe kwamba una kinyaa katika kubusu baadhi ya sehemu ambazo yeye anapenda umbusu, huyo ni mke wako na yeye wewe ni mwili mmoja, yeye ni wewe na wewe ni yeye, hivyo unaruhusiwa kubusu sehemu yoyote ndiyo maana usafi ni jambo la kwanza kabisa katika mapenzi.
CLEANNESS IS SECOND TO GODLINESS
Comments
Post a Comment