BREAKING NEWS : UKAWA WACHAFUA HALI YA HEWA BUNGENI KISA RAIS WA ZANZIBAR
Wabunge wa Upinzani katika Bunge la Jamuhuri ya Muungano wa Watanzania
Wanazomea Bungeni mara baada ya Kutangazwa Kuingia kwa Rais wa Zanzibar
Mh Dk Ali Mohamed Shein.Wanachopinga wabunge hao wanadai hawamtambui Dk
Shein Kama Rais Halali wa Zanzibar.Hali hiyo ilianza pale Naibu spika alipomuita Mwanasheria Mkuu wa Serikali Kutengua Kanuni ili Viongozi wa Serikali ya Mapinduzi ya Zanzibar wameze Kuongozana na Rais wa Jamuhuri ya Muungano wa Tanzania Mh Magufuli wakati atakapokuja Kulihutubia Bunge na Kulizindua Rasmi ,
Comments
Post a Comment