BREAKING NEWS : SPIKA WA BUNGE MH JOB NDUGAI AWATOA WABUNGE WA UPINZANIA BUNGENI
Spika
wa Bunge la Tanzania Mh Job Ndugai aweamuru Wabunge ukawa Kutoka Nje ya
Bunge,Hali hiyo Imetokana na Wabunge hao Kupiga kelele Kipindi Viongozi
wa Serikali ya Jamuhuri ya Muungano wa Tanzania Pamoja Viongozi wa
Serikali ya Mapinduzi Zanzibar Wakiingia Bungeni
Comments
Post a Comment