BREAKING NEWS..!! MTANGAZAJI MAARUFU NCHINI TANZANIA AFARIKI DUNIA.



Mtangazaji maarufu nchini Tanzania Prince Baina Kamukulu amefariki dunia leo alfajiri.
Kamukulu amefariki dunia katika hospitali ya Kigamboni jijini Dar es salaam ambapo taarifa za awali zinadai kuwa alianguka akiwa mazoezini kisha kukimbizwa katika hospitali hiyo jana usiku.
Kamukulu aliwahi kuwa Mtangazaji wa Kipindi cha Afrika Bambataa cha Clouds Fm,pia amewahi kufanya kazi Star Tv na Radio Free Africa.
R.I.P Kamukulu.

Chanzo-BEN MWANTALA

Comments

Popular posts from this blog