TEAM YA WASANII WA MABADILIKO WALETA MAFURIKO MTWARA
Msanii Walter Chilambo akiimba katika Tamasha la Wasanii wa Mabadiliko
lililofanyika mwishoni mwa wiki iliyopita mjini Mtwara. Lengo la Tamasha
hilo ni kuwahimiza wananchi kujitokeza kupiga kura Oktoba 25, 2015.
Msanii Mkoloni akiimba katika Tamasha la Wasanii wa Mabadiliko
lililofanyika mwishoni mwa wiki iliyopita mjini Mtwara. Lengo la Tamasha
hilo ni kuwahimiza wananchi kujitokeza kupiga kura Oktoba 25, 2015.
Wananchi waliojitokeza katuka Tamasha la Mabadiliko ililofanyika
mwishoni mwa wiki iliyopita mjini Mtwara. Lengo la Tamasha hilo ni
kuwahimiza wananchi kujitokeza kupiga kura Oktoba 25, 2015.
Msanii Sogy Dog akiimba katika Tamasha la Wasanii wa Mabadiliko
lililofanyika mwishoni mwa wiki iliyopita mjini Mtwara. Lengo la Tamasha
hilo ni kuwahimiza wananchi kujitokeza kupiga kura Oktoba 25, 2015.
Wasanii wa Bongo Movie wakiwasha moto katika Tamasha la Wasanii wa
Mabadiliko lililofanyika mwishoni mwa wiki iliyopita mjini Mtwara. Lengo
la Tamasha hilo ni kuwahimiza wananchi kujitokeza kupiga kura Oktoba
25, 2015.
Mapokezi ya wasanii mara baada ya kufika Mtwara kwa ajili ya Tamasha la Mabadiliko.
Comments
Post a Comment