SAFARI YA MAGUFULI KUELEKA MTWARA AKITOKEA RUVUMA YAWA YA AINA YAKE AHUTUBIA MIKUTANO 16
Mgombea
wa Urais kupitia CCM Dk. John Pombe Magufuli akihutubia wakazi wa
Masasi kwenye uwanja wa Bomani ambapo aliwaambia kama atapewa ridhaa na
wananchi hao ya kuiongoza Tanzania basi atahakikisha utendaji, ufanisi
katika kuleta maendeleo nchini unaongezeka ikiwa pamoja na kuhakikisha
kila mwananchi anapata haki ya msingi.
Mgombea
wa Urais kupitia CCM Dk. John Pombe Magufuli akiwasalimu wakazi wa
kijiji cha Michiga waliojitokeza kwa wingi kumsalimia wakati akiwa
njiani kuelekea Masasi.
Wananchi
wa kijiji cha Nakapanya wakiwa wamejipanga barabarani kumpokea mgombea
wa urais kupitia CCM Dk. John Pombe Magufuli ambaye alikuwa safarini
kutokea mkoa wa Ruvuma akielekea Masasi mkoani Mtwara.
Mgombea wa Urais kupitia CCM Dk. John Pombe Magufuli akihutubia wakazi wa Tunduru kwenye mkutano wa kampeni za CCM.
Mgombea wa Urais kupitia CCM Dk. John Pombe Magufuli akisisitiza jmbo kwenye mkutano wa kampeni Tunduru.
Wananchi wa Tunduru wakifurahia jambo kwenye mkutano wa Mgombea wa Urais kupitia CCM Dk. John Pombe Magufuli.
wakazi
wa Nandembo wakiwa wamejazana barabarani kumsikiliza Mgombea wa Urais
kupitia CCM Dk. John Pombe Magufuli aliyekuwa njiani kuelekea Masasi.
Wakazi
wa Kiuma wakishangilia ujio wa Mgombea wa Urais kupitia CCM Dk. John
Pombe Magufuli aliyekuwa njiani kuelekea Masasi mkoani Mtwara.
Wakazi wa kata ya Mchomolo wakihamasika na hotuba ya Mgombea wa Urais kupitia CCM Dk. John Pombe Magufuli
Mgombea
wa Urais kupitia CCM Dk. John Pombe Magufuli akimtambulisha Dk.
Emmanuel Nchimbi kwenye mkutano wa kampeni uliofanyika Namtumbo.
Mgombea wa Urais kupitia CCM Dk. John Pombe Magufuli akiwatambulisha wagombea udiwani wa Jimbo la Namtumbo.
Mgombea
wa Urais kupitia CCM Dk. John Pombe Magufuli akimtambulisha Ndugu
Yusufu Liambe ambaye anagombea udiwani kata ya Lwinga.
Mgombea
wa Urais kupitia CCM Dk. John Pombe Magufuli akimkabidhi ilani ya
uchaguzi ya CCM Mgombea Ubunge wa jimbo la Namtumbo Ndugu Edwin Amandus
Ngonyani.
Comments
Post a Comment