RAIS KIKWETE AAGWA RASMI NA VYOMBO VYA ULINZI NA USALAMA JIJINI DAR LEO
Amiri
Jeshi Mkuu wa Majeshi ya ulinzai na Usalama Rais Dkt.Jakaya Mrisho
Kikwete akikagua gwaride rasmi liliandaliwa na vikosi mbalimbali wakati
wa sherehe ya kuagwa rasmi na vyombo vya ulinzi na usalama iiyofanyika
katika uwanja wa Uhuru jijini Dar es Salaam leo
Makamu
wa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Dkt. Mohammed Gharib Bilal,
akisalimiana na Rais wa Zanzibar, Dkt. Ali Mohamed Shein, baada ya
kuwasili kwenye uwanja wa Uhuru kwa ajili ya kuhudhuria hafla ya kuagwa
na Vyombo vya Ulinzi na Usalama.
Rais
Jakaya Kikwete,akipunga mkono kuwasalimia wananchi na viongozi
mbalimbali waliokuwa jukwaani wakati wa hafla hiyo kwenye Uwanja wa
Uhuru jijini Dar es Salaam, leo.
Rais Jakaya akiwa na Mkuu wa Majeshi, Davis Mwamunyange..
Viongozi wakisimama wakati wa wimbo wa taifa.
Rais Jakaya Kikwete, akikagua gwaride....
Baadhi ya Viongozi wakisimama kumpokea Rais Jakaya Kikwete.
Askari wakipiga saruti wakati ikipigwa mizinga 21.
Askari wakipita mbele ya jukwaa kuu wakati wa gwaride la heshima. KWA MATUKIO ZAIDI YA PICHA ZA HAFLA HII KAA NASI HAPO BAADAYE
CHANZO SUFIANO MAFOTO
CHANZO SUFIANO MAFOTO
Comments
Post a Comment