RAIS KIKWETE AAGANA NA WAFANYAKAZI WA MAHAKAMA YA AFRIKA
Rais
wa Mahakama ya Afrika na Haki za Binadamu Jaji Agustino Ramadhani
akimkaribisha Rais Dkt.Jakaya Mrisho Kikwete katika uwanja wa ndege wa
Arusha ambapo alikutana na kuagana na majaji na watumishi wa Mahakama ya
Afrika mjini Arusha leo.
Rais
Dkt.Jakaya Mrisho Kikwete akisaini kitabu cha wageni katika ofisi ya
Rais wa Mahakama ya Afrika na Haki za Binadamu iliyopo mjini Aruha huku
Rais wa Mahakama hiyo Jaji Agustino Ramadhani kulia akishuhudia.
Rais
Dkt.Jakaya Mrisho Kikwete na Rais Wa Mahakama ya Afrika ya Haki za
binadamu Jaji Agustino Ramadhani wakizindua kitabu cha taarifa za msingi
kuhusu mahakama hiyo kwenye Ukumbi wa Kibo kwenye majengo ya Mahakama
hiyo mjini Arusha leo.Rais Kikwete alitumia fursa hiyo kuagana na
viongozi na wafanyakazi wa mahakama hiyo.
Rais Dkt.Jakaya Mrisho Kikwete akiwahutubia wafanyakazi na viongozi wa Mahakama ya Afrika ya Haki za Binadamu mjini Arusha leo.
Rais
Dkt.Jakaya Mrisho Kikwete akiwa katika picha ya pamoja na viongozi na
wafanyakazi wa Mahakama ya aFrika ya Haki za binadamu mjini Arusha
wakati Rais alipotoa hotuba ya kuwaaga.
(Picha na Freddy Maro)
Comments
Post a Comment