MGOMBEA MWENZA WA UKAWA JUMA DUNI HAJI AFANYA KAMPENI MIKOA YA KUSINI
Mgombea Mwenza wa Ukawa kupitia Chadema, Juma Duni Haji akiwa
amembeba motto, Mohamed Mchokonole wakati akihutubia mkutano wa kampeni uliofanyika kwenye uwanja wa Mpilipili mkoani Lindi.
amembeba motto, Mohamed Mchokonole wakati akihutubia mkutano wa kampeni uliofanyika kwenye uwanja wa Mpilipili mkoani Lindi.
Kikundi cha Kwaya ya Tujikomboe kikitumbuiza wakati wa mkutano wa kamapeni uliofanyikakatika uwanja wa Wilaya ya Liwale Mkoani Lindi.
Mgombea
mwenza wa Umoja wa Katiba ya Wananchi (Ukawa), kupitia Chadema, Juma
Duni Haji akihutubia katika mkutano wa kampeni uliofanyika katika uwanja
wa Maulidi Wilaya ya Nachingwea mkoani Lindi.
Mgombea Mwenza wa Ukawa kupitia Chadema, Juma Duni Haji akiwa
amembeba mtoto, Mohamed Mchokonole wakati akihutubia mkutano wa kampeni uliofanyika
kwenye uwanja wa Mpilipili mkoani Lindi.
amembeba mtoto, Mohamed Mchokonole wakati akihutubia mkutano wa kampeni uliofanyika
kwenye uwanja wa Mpilipili mkoani Lindi.
Makamu
Mwenyekiti wa Chama cha Demokrasia na Maendeleo (Chadema) Zanzibar Said
Issa Mohamed (kushoto) akimtambulisha mgombea mwenza wa Umoja wa Katiba
ya Wananchi (Ukawa), kupitia Chadema, Juma Duni Haji wakati wa mkutano
wa kampeni uliofanyika katika uwanja wa Maulidi Wilaya ya Nachingwea
mkoani Lindi.
Wafuasi
wa Ukawa wakisukuma gari la mgombea Mwenza wa Ukawa kupia Chadema, Juma
Duni Haji baada ya mkutano wa kampeni uliofanyika katika uwanja wa
Mpilipili mkoani Lindi
Mgombea
Mwenza wa Ukawa kupitia Chadema, Juma Duni Haji akiwa amembeba motto,
Mohamed Mchokonole wakati akihutubia mkutano wa kampeni uliofanyika
kwenye uwanja wa Mpilipili mkoani Lindi.
Mgombea
Mwenza wa Ukawa kupitia Chadema, Juma Duni Haji akimtambulisha mgombea wa
ubunge jimbo la Lindi mjini ikupitia
CUF, Salum Barwani wakati wa mkutano wa hadhara uliofanyika kwenye uwanja wa Mpilipili
mkoani Lindi

mwenza wa Umoja wa Katiba ya Wananchi kupitia Chadema, Juma Duni Haji
(kulia), akimtambulisha mgombea wa ubunge wa jimbo la Liwale kupitia
CUF, Zubery Kuchauka wakati wa mkutano wa kampeni ulifanyika kwenye
uwanja wa Wilaya ya Liwale mkoani Lindi.
Mgombea
mwenza wa Umoja wa Katiba ya Wananchi kupitia Chadema, Juma Duni Haji
(katikati) akiwaaga wananchi waliohudhuria mkutano wa kampeni
uliofanyika katika uwanja wa Wilaya ya Liwale mkoani Lindi
Makamu
Mwenyekiti wa Chama cha Demokrasia na Maendeleo (Chadema) Zanzibar Said
Issa Mohamed (kushoto) akimtambulisha mgombea mwenza wa Umoja wa Katiba
ya Wananchi (Ukawa), kupitia Chadema, Juma Duni Haji wakati wa mkutano
wa kampeni uliofanyika katika uwanja wa Maulidi Wilaya ya Nachingwea
mkoani Lindi
Mgombea
Mwenza wa Ukawa kupitia Chadema, Juma Duni Haji akipokea kadi ya CCM
kutoka kwa bibi, Razina Mwandachi baada ya kujiunga na Ukawa na
kukabidhiwa kadi ya CUF wakati wa mkutano wa kampeni uliofanyika kwenye
uwanja wa Mpilipili mkoani Lindi.

Wafusi
wa Ukawa wakiwa katika mkutano wa kampeni zamgombea mwenza wa urais wa
Ukawa kupitia Chadema, Juma Duni Haji uliofanyika katika uwanja wa
Maulidi uliopo wilayani Nachingwea.
Mgombea
Mwenza wa Ukawa kupitia Chadema, Juma Duni Haji akiwaaga wafuasi wa
Ukawa mara baada ya kuhutubia mkutano wa kampeni uliofanyika kwenye
uwanja wa Mpilipili mkoani Lindi.
Comments
Post a Comment