MAMA SAMIA ACHANJA MBUNGA LEO CHAMWINO, KONGWA NA MPWAPWA MKOANI DODOMA KUSAKA KURA
Mgombea Mwenza wa Urais kwa tiketi ya CCM, Mama Samia Suluhu Hassan
akiwasili kufaya mkutano wakampeni leo, katika eneo la Chinolwa
Nzali,katika jimbo la Kongwa mkoani Dodoma leo.
Shamrashamra za ngoma zikirindima, Mgombea Mwenza wa Urais kwa tiketi
ya CCM, Mama Samia Suluhu Hassan akiwasili kufaya mkutano wakampeni,
katika eneo la Chinolwa Nzali,katika jimbo la Kongwa mkoani Dodoma leo.
Mgombea Mwenza wa Urais kwa tiketi ya CCM, Mama Samia Suluhu Hassan
akiwasili kufaya mkutano wakampeni leo, katika eneo la Chinolwa
Nzali,katika jimbo la Kongwa mkoani Dodoma leo.
Shamrashamra za mapokezi zilitia fora, Mgombea Mwenza wa Urais kwa
tiketi ya CCM, Mama Samia Suluhu Hassan akiwasili kufaya mkutano
wakampeni leo, katika eneo la Chinolwa Nzali,katika jimbo la Kongwa
mkoani Dodoma.
Mmoja wa wajumbewa Kamati ya Kampeni za Mgombea Mwenza wa Urais kwa
tiketi ya CCM, Ummy Mwalimu, akihamasisisha, wakati, Mgombea huyo Mwenza
wa Urais kwa tiketi ya CCM, Mama Samia Suluhu Hassan alipowasili kufaya
mkutano wakampeni leo, katika eneo la Chinolwa Nzali,katika jimbo la
Kongwa mkoani Dodoma.
Kina Mama wa Kigogo wakiwa wamejipamba sura zao kumpokea Mgombea
Mwenza wa Urais kwa tiketi ya CCM, Mama Samia Suluhu Hassan alipowasili
kufaya mkutano wakampeni, katika eneo la Chinolwa Nzali,katika jimbo la
Kongwa mkoani Dodoma leo.
Mgombea Mwenza wa Urais kwa tiketi ya CCM, Mama Samia Suluhu Hassan
akiwa ameketi meza kuupamoja na baadhi ya viongozi baada ya kuwasili
kufaya mkutano wakampeni, katika eneo la Chinolwa Nzali,katika jimbo la
Kongwa mkoani Dodoma leo.
Shamrashamra za ngoma zikiendelea baada ya Mgombea Mwenza wa Urais
kwa tiketi ya CCM, Mama Samia Suluhu Hassan alipowasili kufaya mkutano
wakampeni leo, katika eneo la Chinolwa Nzali,katika jimbo la Kongwa
mkoani Dodoma leo.
Mgombea Mwenza wa Urais kwa tiketi ya CCM, Mama Samia Suluhu Hassan
akipew zawadi ya mbuzi alipowasili kufaya mkutano wakampeni, katika eneo
la Chinolwa Nzali,katika jimbo la Kongwa mkoani Dodoma leo.
Mgombea Mwenza wa Urais kwa tiketi ya CCM, Mama Samia Suluhu Hassan
akihutubia mkutano wakampeni leo, katika eneo la Chinolwa Nzali,katika
jimbo la Kongwa mkoani Dodoma leo.
Wananchi wakimsikiliza Mgombea Mwenza wa Urais kwa tiketi ya CCM,
Mama Samia Suluhu Hassan alipowahutubia kwenye mkutano wakampeni leo,
katika eneo la Chinolwa Nzali,katika jimbo la Kongwa mkoani Dodoma.
Vijana wakiwa wamelazimika kupanda mti ili kumuona vizuri, Mgombea
Mwenza wa Urais kwa tiketi ya CCM, Mama Samia Suluhu Hassan alipohutubia
mkutano wakampeni leo, katika eneo la Chinolwa Nzali,katika jimbo la
Kongwa mkoani Dodoma leo.
Mgombea Mwenza wa Urais kwa tiketi ya CCM, Mama Samia Suluhu Hassan
akizungumza na wananchi waliosimamisha msafara wake akiwa njiani kwenda
Kingwingwili Kongwa wasili kufaya mkutano wakampeni leo, katika eneo la
Chinolwa Nzali,katika jimbo la Kongwa mkoani Dodoma leo.
Vijana wakiwa wamelazimika kupanda miti ili kumuona vizuri, Mgombea
Mwenza wa Urais kwa tiketi ya CCM, Mama Samia Suluhu Hassan wakati wa
mkutano wa kampeni uliofanyika Kingwingiwili, jimbo la Kongwa, mkoani
Dodoma leo.
Mbunge wa Kongwa mkoani Dodoma, Job Ndugai akimwaga sera, wakati wa
mkutano wa kampeni wa Mgombea Mwenza wa Urais kwa tiketi ya CCM, Mama
Samia, uliofanyika katika eneo la Kigwingwili leo
Mwanachama wa Chadema akiwa katika sare ya Chama hicho kwenye mkutano
wa mkutano wa kampeni wa Mgombea Mwenza wa Urais kwa tiketi ya CCM,
Mama Samia, uliofanyika katika eneo la Kigwingwili leo.
Mgombea Mwenza wa Urais kwa tiketi ya CCM, Mama Samia, akihutubia mkutano wa kampeni uliofanyika katika eneo la Kigwingwili leo
Mgombea Mwenza wa Urais kwa tiketi ya CCM, Mama Samia, akiwasili
kwenye mkutano wa kampeni uliofanyika leo katika eneo la Mazae jimbo la
Mpwpwa mkoani Dodoma leo.
Mjumbe wa NEC, Evodi Mmanda akihutubia mkutano wa kampeni za Mgombea
Mwenza wa Urais kwa tiketi ya CCM, Mama Samia uliofanyika eneo la Mazae
jimbo la Mpwapwa mkoani Dodoma leo
Mmoa wa wajumbe wa Kampeni za Mgombea Mwenza wa Urais kwa tiketi ya
CCM, Angela Kairuki, akihutubia mkutano wa kampeni za mgombea huyo, Mama
Samia, eneo la Mazae katika jimbo hilo leo.
Aliyekuwa mgombea kutafuta ridhaa ya kuwania Ubunge kwa tiketi ya CCM
jimbo la Nkenge Asupta Mshama, akitoa vidonge vyake wakati wa mkutano
huo
Wananchi wakishangilia Mgombea mwenza wa Urais kwa tiketi ya CCM,
Mama Samia, alioohutubia mkutano wa kampeni uliofanyika eneo la Mazae,
jimbo la Mpwapwa mkoani Dodoma leo
Mama Samia Suluhu Hassan akiwa na kadi za Wanachama saba wa Chadema
waliomkabidhi baada ya kutangaza kuhamia CCM, wakati wa mkutano wa
kampeni uliofanyika leo katika eneo la Mazaejimbo la Mpwapwa mkoani
Dodoma leo.
Mgombea Mwenza wa Urais kwa tiketi ya CCM, Mama Samia Suluhu Hassan
akiwapokea baadhi ya wananchama hao saba wa Chadema waliomkabidhi kadi
zao baada ya kutangaza kuhamia CCM, wakati wa mkutano wa kampeni
uliofanyika leo katika eneo la Mazaejimbo la Mpwapwa mkoani Dodoma leo.
PICHA ZOTE NA BASHIR NKOROMO
Comments
Post a Comment