MAKAMU WA RAIS DKT. BILAL AONGOZA WANANCHI KUAGA MWILI WA MAREHEMU CELINA KOMBANI, DAR, KUZIKWA KESHO MOROGORO.
Makamu wa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Dkt. Mohammed
Gharib Bilal, akitoa heshima za mwisho mbele ya Jeneza lenye mwili wa
aliyekuwa Waziri Nchi Ofisi ya Rais Menejimenti ya Utumishi wa Umma,
marehemu Celina Kombani, wakati wa shughuli za kuaga mwili huo
zilizofanyika leo Septemba 28, 2015 kwenye Viwanja vya Karimjee jijini
Dar es Salaam. Marehemu Kombani alifariki Agosti 24 huko nchini India na
anatarajia kuzikwa kesho mkoani Morogoro. Picha na OMR
Mke wa Rais Mama Salma Kikwete, akitoa heshima za mwisho mbele ya
Jeneza lenye mwili wa aliyekuwa Waziri Nchi Ofisi ya Rais Menejimenti ya
Utumishi wa Umma, marehemu Celina Kombani, wakati wa shughuli za kuaga
mwili huo zilizofanyika leo Septemba 28, 2015 kwenye Viwanja vya
Karimjee jijini Dar es Salaam. Marehemu Kombani alifariki Agosti 24 huko
nchini India na anatarajia kuzikwa kesho mkoani Morogoro.
Spika
wa Bunge la Jamhuri, Mama Anne Makinda, akitoa heshima za mwisho mbele
ya Jeneza lenye mwili wa aliyekuwa Waziri Nchi Ofisi ya Rais Menejimenti
ya Utumishi wa Umma, marehemu Celina Kombani, wakati wa shughuli za
kuaga mwili huo zilizofanyika leo Septemba 28, 2015 kwenye Viwanja vya
Karimjee jijini Dar es Salaam. Marehemu Kombani alifariki Agosti 24 huko
nchini India na anatarajia kuzikwa kesho mkoani Morogoro.
Mama Maria Nyerere, akitoa heshima za mwisho mbele ya Jeneza lenye
mwili wa aliyekuwa Waziri Nchi Ofisi ya Rais Menejimenti ya Utumishi wa
Umma, marehemu Celina Kombani, wakati wa shughuli za kuaga mwili huo
zilizofanyika leo Septemba 28, 2015 kwenye Viwanja vya Karimjee jijini
Dar es Salaam. Marehemu Kombani alifariki Agosti 24 huko nchini India na
anatarajia kuzikwa kesho mkoani Morogoro
Makamu wa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Dkt. Mohammed
Gharib Bilal, akisalimiana na baadhi ya Mawaziri wakati alipowasili
kwenye Viwanja vya Karimjee jijini Dar es Salaam, kwa ajili ya kushiriki
kuaga na kutoa heshima za mwisho kwa mwili wa aliyekuwa Waziri Nchi
Ofisi ya Rais Menejimenti ya Utumishi wa Umma, marehemu Celina Kombani,
wakati wa shughuli za kuaga mwili huo zilizofanyika leo Septemba 28,
2015. Marehemu Kombani alifariki Agosti 24 huko nchini India na
anatarajia kuzikwa kesho mkoani Morogoro.

Gharib Bilal, akimfariji mume wa marehemu Celina Kombani, aliyekuwa
Waziri Nchi Ofisi ya Rais Menejimenti ya Utumishi wa Umma, Ahmad
Pangolani, wakati wa shughuli za kuaga mwili huo zilizofanyika leo
Septemba 28, 2015 kwenye Viwanja vya Karimjee jijini Dar es Salaam.
Marehemu Kombani alifariki Agosti 24 huko nchini India na anatarajia
kuzikwa kesho mkoani Morogoro.
Makamu wa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Dkt. Mohammed
Gharib Bilal, akisalimiana na baadhi ya Mawaziri wakati alipowasili
kwenye Viwanja vya Karimjee jijini Dar es Salaam, kwa ajili ya kushiriki
kuaga na kutoa heshima za mwisho kwa mwili wa aliyekuwa Waziri Nchi
Ofisi ya Rais Menejimenti ya Utumishi wa Umma, marehemu Celina Kombani,
wakati wa shughuli za kuaga mwili huo zilizofanyika leo Septemba 28,
2015. Marehemu Kombani alifariki Agosti 24 huko nchini India na
anatarajia kuzikwa kesho mkoani Morogoro.
Makamu wa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Dkt. Mohammed
Gharib Bilal, akisalimiana na Mama Maria Nyerere, wakati alipowasili
kwenye Viwanja vya Karimjee jijini Dar es Salaam, kwa ajili ya kushiriki
kuaga na kutoa heshima za mwisho kwa mwili wa aliyekuwa Waziri Nchi
Ofisi ya Rais Menejimenti ya Utumishi wa Umma, marehemu Celina Kombani,
wakati wa shughuli za kuaga mwili huo zilizofanyika leo Septemba 28,
2015. Marehemu Kombani alifariki Agosti 24 huko nchini India na
anatarajia kuzikwa kesho mkoani Morogoro.
Makamu wa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Dkt. Mohammed
Gharib Bilal, akijumuika na wananchi na baadhi ya Viongozi wakati wa
shughuli ya kuaga na kutoa heshima za mwisho kwa mwili wa aliyekuwa
Waziri Nchi Ofisi ya Rais Menejimenti ya Utumishi wa Umma, marehemu
Celina Kombani, zilizofanyika leo Septemba 28, 2015 kwenye Viwanja vya
Karimjee jijini Dar es salaam. Marehemu Kombani alifariki Agosti 24 huko
nchini India na anatarajia kuzikwa kesho mkoani Morogoro
Askari wa Bunge wakibeba Jeneza lenye mwili wa marehemu Celina
Kombani, wakati likiwasili kwenye Viwanja vya Karimjee kwa ajili ya
shughuli la kuagwa kabla ya kusafirishwa kuelekea mkoani Morogoro kwa
maziko.

Mke wa Waziri Mkuu, Mama Tunu Pinda, akitoa heshima za mwisho mbele
ya Jeneza lenye mwili wa aliyekuwa Waziri Nchi Ofisi ya Rais Menejimenti
ya Utumishi wa Umma, marehemu Celina Kombani, wakati wa shughuli za
kuaga mwili huo zilizofanyika leo Septemba 28, 2015 kwenye Viwanja vya
Karimjee jijini Dar es Salaam. Marehemu Kombani alifariki Agosti 24 huko
nchini India na anatarajia kuzikwa kesho mkoani Morogoro
Makamu wa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Dkt. Mohammed
Gharib Bilal, akijumuika na wananchi na baadhi ya Viongozi wakati wa
shughuli ya kuaga na kutoa heshima za mwisho kwa mwili wa aliyekuwa
Waziri Nchi Ofisi ya Rais Menejimenti ya Utumishi wa Umma, marehemu
Celina Kombani, zilizofanyika leo Septemba 28, 2015 kwenye Viwanja vya
Karimjee jijini Dar es salaam. Marehemu Kombani alifariki Agosti 24 huko
nchini India na anatarajia kuzikwa kesho mkoani Morogoro
Baadhi ya Viongozi waliohudhuria shughuli hiyo wakiwa katika foleni
ya kwenda kutoa heshima za mwisho wakati wa kuagwa mwili huo, kwenye
Viwanja vya Karimjee, leo.
Baadhi ya Viongozi waliohudhuria shughuli hiyo wakiwa kwenye Viwanja vya Karimjee wakisubiri kutoa heshima za mwisho
Comments
Post a Comment