LOWASSA ACHANYA MBUGA,JANA ATIKISA RUVUMA
Mgombea Urais wa Jamhuri ya Muungani wa Tanzania katika mwamvuli wa UKAWA kupitia Chama cha Demokrasia na Maendeleo (CHADEMA), Mh. Edward Lowassa akihutubia maelfu ya wananchi wa mji wa Songea Mjini, kwenye Mkutano wa hadhara wa Kampeni, uliofanyika kwenye Uwanja wa Shule ya Msingi Matarawe, Songea Mjini, Mkoani Ruvuma leo Septemba 1, 2015. Picha na Othman Michuzi, Ruvuma.
Mgombea
Urais wa Jamhuri ya Muungani wa Tanzania katika mwamvuli wa UKAWA
kupitia Chama cha Demokrasia na Maendeleo (CHADEMA), Mh. Edward Lowassa
akihutubia maelfu ya wananchi wa mji wa Songea Mjini, kwenye Mkutano wa
hadhara wa Kampeni, uliofanyika kwenye Uwanja wa Shule ya Msingi
Matarawe, Songea Mjini, Mkoani Ruvuma leo Septemba 1, 2015. Picha na
Othman Michuzi, Ruvuma.
Maelfu ya wakazi wa Songea wajitokeza kumsikiliza Mgimbea wa Chadema, Edward Lowassa.
Mgombea
Urais wa Jamhuri ya Muungani wa Tanzania katika mwamvuli wa UKAWA
kupitia Chama cha Demokrasia na Maendeleo (CHADEMA), Mh. Edward Lowassa,
akiwasili kwenye Uwanja wa Shule ya Msingi Matarawe, Songea Mjini,
Mkoani Ruvuma leo Septemba 1, 2015, ambako kumefanyika Mkutano wa
Kampeni zake anazoendelea nazo kwa nchi nzima. Mh. Lowassa amepata
mapokezi makubwa sana mkoani hapo, akitokea Mkoa wa Njombe.
Comments
Post a Comment