DK MAGUFULI AZIDI KUNOGESHA KAMPENI ZA CCM ZA URAIS MKOANI RUVUMA
Mgombea
Urais wa Tanzania kupitia CCM, Dk. John Pombe Magufuli akiwapungia
mikono wananchi ikiwa ni ishara ya kuwasalimia alipowasili kwenye
mkutano wa kampeni mjini Mbinga, Mkoa wa Ruvuma leo, ambapo aliahidi
kuboresha kiwanda cha kukoboa kahawa na kujenga barabara ya lami kutoka
Mbinga hadi Mbamba bay.
Mgombea
Urais kupitia CCM Dk. John Pombe Magufuli akihutubia wakazi wa Songea
mjini kwenye uwanja wa majimaji ambapo aliwaeleza wananchi hao kuwa
Serikali yake itafanyakazi kwa ajili ya maendeleo ya watanzania.
Mbunge wa
zamani wa Jimbo la Songea Mjini, Dk. Emmanuel Nchimbi akiwaomba
wananchi wa Ruvuma kumpigia kura Mgombea urais wa Tanzania kupitiaa
CCM,, dK John Magufuli waqkati wa mkutano wa kampeni wa CCM kwenye
Uwanja wa Maji Maji Mjini Songea, mkoani Ruvuma. PICHA ZOTE NA RICHARD
MWAIKENDA;KAMANDA WA MATUKIO BLOG
Mgombea
urais wa Tanzania kupitiaa CCM,, dK John Magufuli akiwa na watoto
aliowapatia zawadi alipokuwa akiondoka baada ya kujinadi katika Jimbo la
Peramiho, mkoani Ruvuma
Mwananchi
akimpigia makofi Mgombea Urais wa Tanzania kupitia CCM, Dk Magufuli
baada ua kufurahishwa na hotuba yake katika Kijiji cha Kigonsera,
wilayani Mbinga, Ruvuma leo.
Dk
Magufuli akisalimiana na dada wa aliyekuwa Mbunge wa Jimbo la Nyasa
kupitia CCM, na mhamasishaji Mkuu wa CCM, marehemu Kapteni John Komba,
alipokwenda kutoa shada la maua kwenye kaburi Kapteni Komba katika
Kijiji cha Lituhi, wilayani Nyasa, mkoani Ruvuma akiwa katika ziara ya
kampeni za urais, ubunge na udiwani
Dk Magufuli akiweka shada la maua kwenye kaburi la marehemu Kapteni Komba
Dk Magufuli na viongozi wengine wa CCM, wakiomba dua kwenye kaburi la marehemu Kapteni Komba
Ngoma ikitumbuiza wakati wa mkutano wa kampeni za urais, ubunge na udiwani katika Kijiji cha Lituhi, Wilaya ya Nyasa
Dk Magufuli akinadi kwa wananchi katika Mji wa Lituhi, Wilaya ya Nyasa, Ruvuma
Dk Magufuli akimnadi Mgombea Ubunge wa CCM Jimbo la Nyasa, Stelah Manyanya katika mkutano wa kampeni katika Mji wa Lituhi
Wananchi wakishangilia baada ya kufurahishwa na hotuba ya Dk Magufuli
Dk
Magufuli akimvisha kofia ya CCM, aliyekuwa Mwenyekiti Mtedaji wa Kijiji
cha Kwanza Kata ya Lituhi, kupitia Chadema, Sixbert Nyembo baada ya
kutangaza kuwa yeye na wenzie zaidi ya 270 kukihama chama hicho na
kujiunga na CCM katika mkutano uliofanyika katika Kata ya Lituhi,
wilayani Nyasa leo
Wananchi wakimshangilia Dk Magufuli katika wakati msafara wake ulipozuiwa katika Kijiji cha Rwanda, wilayani Mbinga
Wananchi
wakishangilia katika Kijiji cha Amani walipomuona Dk Magufuli wakati
msafara wake ulipozuiwa katika Kijiji hicho kilichopo wilayani Mbinga
Msafara wa Dk Magufuli ukipita kwenye Barabara mpya ya lami inayotoka Songea kwenda Mbinga
Dk
Magufuli akishangiliwa alipokuwa akiwahutubia wakati wa Kijiji cha
Kigonsera waliomzuia alipokuwa akienda kwenye kampeni mjini Mbinga
Dk Magufuli akiwasamia wananchi alipowasili kwenye mkutano wa kampeni mjini Mbinga
Dk
Magufuli akihutubia wananchi na kutoa ahadi mbalimbali atakazozitekeleza
akiwa chaguliwa kuwa rais ambapo alisema kuwa kila kijiji kuanzia
mwakani kitapewa sh. mil. 50 za kuwakopesha vijana na akina mama
Dk
Magufuli akimkabidhi Mgombea Ubunge Jimbo la Mbinga Mjini, Sixtus
Mapunda Ilani ya Uchaguzi ya CCM wakati wa mkutano huo wa kampeni
Dk Magufuli akionesha Ilani ya Uchaguzi ya CCM kabla ya kumkabidhi mgombea ubunge Jimbo la Mbinga Vijijini wakati wa mkutano huo
Dk Magufuli akimsalimia mmoja wa walemavu waliojitokeza kwenye mkutano wa kampeni mjini Mbinga
Sehemu ya wananchi walioshiriki kwenye mkutano wa kampeni za CCM katika Jimbo la Peramiho, mkoani Ruvuma leo
Dk Magufuli akijinadi kwa wananchi wakati wa mkutano wa kampeni katika Jimbo la Peramiho
Mma mfuasi wa CCM akifurahi baada ya kumsikia Dk Magufuli akiahidi kuanzisha pensheni kwa wazee kuanzia mwakani
Mgombea
Ubunge Jimbo la Peramiho, Jenista Mhagama akipokea Ilani ya Uchaguzi ya
CCM kutoka kwa Mgombea Urais kupitia chama hicho, Dk Magufuli wakati wa
mkutano huo wa kampeni.
Mgombea
urais wa Tanzania kupitiaa CCM,, dK John Magufuli akiwapungia mkono
wananchi kuwaaga baada ya kujinadi katika Jimbo la Peramiho, mkoani
Ruvuma
Mgombea
urais wa Tanzania kupitiaa CCM,, dK John Magufuli akiwapungia mkono
wananchi kuwaaga baada ya kujinadi katika Jimbo la Peramiho, mkoani
Ruvuma
Sehemu ya
wanchi wa Ruvuma wakinyoosha mikono kukubali kumpigia kura Mgombea
urais kupitia CCM, Dk John Magufuli kwenye Uwanja wa MajiMaji mjini
Songea
Mwenyekiti
wa Shirikisho la Watu wenye Ulemavu nchini, Amon Mpanju akiwashutumu
viongozi wa upinzani akiwemo mgombea urais kupitia Umoja wa Katiba
Wananchi Ukawa, Edward Lowassa kwa kitendo chake cha kuwadhihaki
walemavu. Mpanju alikuwa akihutubia katika mkutano wa kumnadi Mgombea
Urais wa Tanzania kupitia CCM, Dk John Magufuli kwenye Uwanja wa Maji
Maji mjini Songea
Mgombea
Urais kupitia CCM Dk. John Pombe Magufuli akihutubia wakazi wa Songea
mjini kwenye uwanja wa majimaji ambapo aliwaeleza wananchi hao kuwa
Serikali yake itafanyakazi kwa ajili ya maendeleo ya watanzania.
Comments
Post a Comment