TAZAMA PICHA ZA MAPOKEZI YA LOWASA MBEYA

Kutoka mbeya  hizi ni picha za awali kabisa za mapokezi ya mgombea wa UKAWA Edward lowasa wakati anaenda kutafuta wadhamini,Tizama hii.Picha nyingine zitakujia



Mgombea Urais wa UKAWA Kupitia CHADEMA Leo atakuwa Jijini Mbeya kwa ajili ya kutambulishwa na kusaka wadhamini.
Hapa kuna picha kadhaa za shamrashamra za wananchi wakimsubiri kwa hamu kubwa uwanja wa ndege wa Songwe.










Comments

Popular posts from this blog