MWENYEKITI WA CHADEMA AONGEA NA WAANDISHI WA HABARI KUELEZEA AFYA YAKE
Mbowe akiongea na Waandishi wa habari leo
Mwenyekiti wa Chama cha Demokrasia na Maendeleo (CHADEMA) na
Mwenyekiti mwenza wa UKAWA Freeman Mbowe, ameongea na vyombo vya habari
na Kuelezea maendeleo yake kiafya baada ya jana kuugua gafla na
kukimbizwa Hospitali.
Comments
Post a Comment