MAJINA YA WALIOTEULIWA UBUNGE, UWAKILISHI NA VITI MAALUM CCM YATANGAZWA RASMI
Mwenyekiti
wa CCM Taifa ,Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dk.Jakaya Mrisho
Kikwete akionyesha kitabu cha Ilani ya Uchaguzi ya 2015-2020 ya CCM
wakati wa kufunga kikao cha Halmashauri Kuu ya CCM Taifa mara baada ya
kumaliza zoezi la kupitisha majina ya wagombea Ubunge na Uwakilishi
mjini Dodoma.Kushoto ni Makamu Mwenyekiti wa CCM (Zanzibar) Dk. Ali
Mohamed Shein na kulia ni Katibu Mkuu wa CCM Ndugu Abdulrahman Kinana.
Mgombea
wa Urais kupitia CCM Dk.John Pombe Magufuli akipitia orodha ya majina
ya waliopendekezwa kwenye nafasi za Ubunge na Uwakilishi,kulia ni Waziri
Mkuu wa Tanzania Mhe.Mizengo Pinda.
MNEC
wa Wilaya ya Lindi mjini Mama Salma Kikwete akipitia kitabu cha ilani
ya Uchaguzi ya CCM kitakachotumika kwa mwaka 2015-2020.
Dk. Salim Ahmed Salim akipitia majina ya walioteuliwa wakatia wa kikao cha Halmashauri Kuu ya CCM mjini Dodoma.
Comments
Post a Comment