KAZI ZASIMAMA SUMBAWANGA NI BAADA YA MAGUFULI KUWASILI NA KUONGEA NA WANANCHI
Mgombea
wa Urais kwa tiketi ya CCM Dk. John Pombe Magufuli akiwasili kwenye
uwanja wa Nelson Mandela ,Sumbawanga mjini tayari kuwahutubia wakazi wa
mji huo.
Mgombea
wa Urais kwa tiketi ya CCM Dk. John Pombe Magufuli akisalimiana na Kada
wa CCM Mzee Chrisant Mzindakaya wakati wa mapokezi kwenye uwanja wa
Nelson Mandela ,Sumbawanga mjini.
Mgombea wa Urais kwa tiketi ya CCM Dk. John Pombe Magufuli akisalimiana na Mbunge wa Sumbawanga mjini Ndugu Aeshi Hilaly .
Kada wa
CCM Mzee Chrisant Mzindakaya akiwahutubia wakazi wa Sumbawanga mjini
kwenye mkutano wa kampeni za kumnadi Mgombea wa Urais kupitia CCM
Dk.John Pombe Magufuli kwenye uwanja wa Nelson Mandela.
Umati wa
wakazi wa Sumbawanga mjini wakimsikiliza Waziri Mkuu wa Tanzania Mhe.
Mizengo Pinda kwenye mkutano wa hadhara wa kampeni za CCM ambapo mgombea
wa urais kupitia CCM Dk. John Pombe Magufuli.
Waziri
Mkuu wa Tanzania Mhe. Mizengo Pinda akimtambulisha mgombea wa CCM Dk.
John Pombe Magufuli kwa wakazi wa Sumbawanga mjini kwenye mkutano wa
kampeni uliofanyika kwenye uwanja wa Nelson Mandela mjini hapo.
Mgombea
wa Urais kwa tiketi ya CCM Dk. John Pombe Magufuli akihutubia umati wa
wakazi wa Sumbawanga mjini kwenye mkutano wa kampeni ambapo aliwaambia
wananchi hao kuwa atawatumikia kwa nguvu zake zote, na hatokuwa na
simile na watendaji wazembe.
Mbunge
wa Sumbawanga mjini Ndugu Aeshi Hilaly akihutubia wakazi wa Sumbawanga
mjini waliojitokeza kwa wingi kwenye uwanja wa Nelson Mandela ambapo CCM
ilikuwa ikifanya mkutano mkubwa wa kunadi sera na mikakati yake kwa
wananchi.
Mgombea
wa Urais kwa tiketi ya CCM Dk. John Pombe Magufuli akiwaaga wananchi
waliojitokeza kwa wingi kwenye uwanja wa Nelson Mandela.
Mgombea
wa Urais kwa tiketi ya CCM Dk. John Pombe Magufuli akiwaonyesha ishara
ya ushindi wananchi waliojitokeza kwa wingi kwenye uwanja wa Nelson
Mandela.
Mgombea
wa Urais kwa tiketi ya CCM Dk. John Pombe Magufuli akiwaaga wananchi
waliojitokeza kwa wingi kwenye uwanja wa Nelson Mandela.
Comments
Post a Comment