KAMATI KUU YA CCM LEO MJINI DODOMA
Mwenyekiti
wa CCM, Rais Jakaya Kikwete akifungua kikao cha Kamati Kuu ya CCM, leo
Agosti, 11, 2015 katika ukumbi wa Jengo la White House Makao Makuu ya
CCM mjini Dodoma. Kushoto ni Makamu Mwenyekiti wa CCM, Zanzibar, Dk. Ali
Mohammed Shein na kulia ni Makamu Mwenyekiti wa CCM Bara, Philip
Mangula na Katibu Mkuu wa CCM, Abdulrahman Kinana.
Kikao cha Kamati Kuu ya CCM, leo Agosti, 11, 2015 katika ukumbi wa Jengo la White House Makao Makuu ya CCM mjini Dodoma.
Wajumbe
wa Kamati Kuu ya CCM, Steven Wasira na Katibu wa NEC, Itikadi na
Uenezi, Nape Nnauye na Adam Kimbisa wakibadilishana mawazo kabla ya
kuanza kikao cha Kamati Kuu ya CCM leo mjini Dodoma.
Wajumbe
wa Kamati Kuu, Katibu wa NEC, Itikadi na Uenezi, Nape Nnauye na Adam
Kimbisa na Dk. Emmanuel Nchimbi, wakibadilishana mawazo kabla ya kuanza
kikao cha Kamati Kuu ya CCM leo mjini Dodoma.
Wajumbe
wa Kamati Kuu, Dk. Maua Daftari na Samia Suluhu Hassan, wakibadilishana
mawazo ukumbini, kabla ya kuanza kikao cha Kamati Kuu ya CCM, leo mjini
Dodoma.
Mjumbe
wa Kamati Kuu, Adam Kimbisa akiwasalimia wajumbe wenzake ukumbini kabla
ya kuanza kikao cha Kamati Kuu ya CCM leo mjini Dodoma. Kutoka kulia ni
Shamsi Vuai Nahodha, Zakia Meghji na Dk. Salim Ahmed Salim.
Wajumbe
wa Kamati Kuu ya CCM, Zakiah Meghji na Dk. Asha-Rose Migiro
wakibadilishana mawazo ukumbini kabla ya kuanza kikao cha Kamati Kuu ya
CCm leo mjini Dodoma.
Wajumbe
wa Kamati Kuu ya CCM, Spika wa Baraza la Wawakilishi, Ameir Pandu
Kificho akibadilishana mawazo na mjumbe mwenzake, Khadija Adood, kabla
ya kikao cha Kamati Kuu ya CCM kuanza leo mjini Dodoma.
Katibu
wa NEC, Itikadi na Uenezi, Nape Nnauye akibadilishana mawazo na Mjumbe
mwenzake wa Kamati Kuu, Zakiah Meghji kabla ya kikao cha Kamati Kuu
kuanza leo mjini Dodoma. (Picha na Bashir Nkoromo)
Comments
Post a Comment