BREAKING NEWSSSSS: MBOWE ATOA KAULI KUHUSU TETESI ZA DR SLAA KUJIUZULU
Alipoulizwa
kuhusu Slaa kutokubaliana na ujio Wa Lowassa amejibu kila kitu
tulikubaliana na Slaa mwenyewe aliunga mkono suala hilo.
Mbowe
amesema wananchi na wanachadema kwa ujumla wasiwe na wasiwasi kwani hiki
chama ni makini na hakiwezi fanya maamuzi bila maridhiano na
akasisitiza kuwapuuza wanaoeneza habari kuwa Slaa amejiuzulu siasa.
Alipoulizwa mara ya mwisho kuwasiliana na Dr Slaa ni lini akajibu jana saa kumi na mbili jioni.
Alipoulizwa walizungumza nini akajibu anajua yeye na Slaa.
Walipomuuliza hasa mbona sisi tukimpigia hapatikani akajibu sijui lakini mimi nimewasiliana nae jana.
Chanzo: Radio one
Comments
Post a Comment