ANGALIA PICHA LOWASSA ALIVYOWASILI MBEYA MUDA HUU
Mgombea Urais Jamhuri ya Muungano wa Tanzania wa Ukawa kwa tiketi ya Chadema Mhe.Edward Lowassa akisalimiana na viongozi mbalimbali wa Ukawa baada ya kutua Jijini Mbeya leo kwa lengo la kujitambulisha ..
Wapenzi wa Ukawa Jijini Mbeya wakati wa shamrashamra za kumpokea Mgombea Urais wa Ukawa kupitia Chadema Mhe. Edward Lowassa ambaye ametua Jijini humo leo.
CHANZO: http://www.ajiratz.info/2015/08/angalia-picha-lowassa-alivyowasili.html
Comments
Post a Comment