MAKAMU WA RAIS DKT. BILAL AKUTANA NA UJUMBE KUTOKA BENKI YA EXIM NA TBEA, IKULU DAR ES SALAAM
Makamu wa
Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Dkt. Mohammed Gharib Bilal,
akiwakaribisha Wajumbe wa Kampuni ya TBEA, wakati walipofika Ofisini kwa
Ikulu jijini Dar esSalaam, kwa ajili ya mazungumzo.
Picha zote na OMR
Makamu wa
Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Dkt. Mohammed Gharib Bilal,
akizungumza na ujumbe kutoka Benki ya EXim, Katibu Mkuu wa Wizara ya
Maji, Eng. Futakamba Mbogo (katikati) na Mshauri wa Kampuni ya TBEA,
Skander Ettab, wakati walipofika Ofisini kwake Ikulu jijini Dar es
Salaam, leoJulai 21, 2015 kwa mazungumzo.
Makamu wa
Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Dkt. Mohammed Gharib Bilal,
akizungumza na ujumbe kutoka Kampuni ya TBEA, wakati walipofika Ofisini
kwake Ikulu jijini Dar es Salaam, leoJulai 21, 2015 kwa mazungumzo.
Makamu wa
Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Dkt. Mohammed Gharib Bilal,
akizungumza na ujumbe kutoka Kampuni ya TBEA, Mwakilishi Mkuu wa Kampuni
ya Uandisi ya Kimataifa ya China, TBEA, Liu Zheng You, wakati
walipofika Ofisini kwake Ikulu jijini Dar es Salaam, leoJulai 21, 2015
kwa mazungumzo.
Makamu wa
Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Dkt. Mohammed Gharib Bilal,
akiwa katika picha ya pamoja na Wajumbe wa Benki ya Exim, baada ya
mazungumzo yaliyofanyika ofisini kwa Makamu Ikulu jijini Dar es Salaam,
leo Julai 21, 2015.
Makamu wa
Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Dkt. Mohammed Gharib Bilal,
akiwa katika picha ya pamoja na Wajumbe wa Kampuni ya TBEA, baada ya
mazungumzo yao yaliyofanyika ofisini kwa Makamu Ikulu jijini Dar es
Salaam, leo Julai 21, 2015.
Comments
Post a Comment