BREAKING NEWS : LEMBELI RASMI AJIUNGA CHADEMA

 Mbunge wa jimbo la Kahama Mkoani Shinyanga Mhe. James Daudi Lembeli ametangaza rasmi hii leo kuachana na chama tawala CCM na kujiunga na chama cha upinzani cha CHADEMA 

Comments

Popular posts from this blog