PICHA ZA UTUPU ZA MGOMBEA URAIS ZAWEKWA MTANDAONI,LENGO NI KUMMALIZA KISIASA!!,PATA HABARI KAMILI HAPA

Kuibuliwa kwa picha hiyo kumekuja siku chache kufuatia mgombea huyo kutangaza nia huku akianika kipaumbele chake endapo atapata ridhaa ya wapiga kura kuingia ikulu.
NIkama kumekucha! Tayari mbinu za kuchafuana na kupakana matope miongoni mwa wanasiasa waliojitokeza kugombea urais kupitia chama kimoja cha siasa zimeanza kujitokeza baada ya hivi karibuni kuibuliwa kwa picha ya mgombea mmoja wa chama hicho aliyetangaza nia akiwa na hawara ndani ya chumba cha hoteli.
Kwa mujibu wa chanzo chetu kilichotinga katika Ofisi za Global Piblishers, Bamaga-Mwenge, inadaiwa kuwa, mheshimiwa huyo (jina tunalo) na

mwanamke huyo ambaye si mke wake, walipiga picha hiyo muda mrefu lakini kutokana na duru za kisiasa za uchaguzi mkuu mwaka huu, picha hiyo inaonekana kuwa ‘keki’ kwa wapinzani wake.
“Unajua hii picha ni ya muda mrefu. Mheshimiwa alipiga akiwa na uhusiano na huyu mrembo. Sasa mheshimiwa alipotangaza nia tu, wabaya wake wakaona hapa ndiyo penyewe, wakaiibua ili itumike kwenye kampeni yake ya urais kama chama chake kitampitisha yeye kugombea,” kilisema chanzo hicho. 


BONYEZA KUSOMA YOTE

Comments

Popular posts from this blog