MKE WA WAZIRI MKUU AZINDUA TAASISI YA MANJANO FOUNDATION

Mtoa Mada
kwenye Halfa hiyo Mh Balozi Mwanaidi Majaar Akisisitiza Jambo kwenye
Halfa Hiyo.Mh Balozi Majaar Alisisitiza Umuhimu wa Kumsomesha Mtoto wa
Kike Pamoja na Kuwawezesha Kiuchumi.Balozi Majari alisiistiza Jamii ya
Kitanzania Kuachana na Kasumba ya Kuwanyanyapaa Watoto wa Kila pia
Kutokuwawezesha na Akasema mtoto wa Kike akipewa Fursa ya Kupata Elimu
na Kuwezeshwa Wanawake Wanaweza .
Hafla
hiyo pia ilihusisha kuzindua Taasisi ya Manjano Foundation, ambayo
imeanzisha jukwaa kwa ajili ya kuandaa miradi na programu ambazo
zitamuinua mwanamke wa Kitanzania kwa kumwondolea umasikini wa kipato
na ambayo itakuwa ni chachu ya kubadili yale yote yaliyoyazunguka maisha
yake. Shirika hili limekwishazindua mradi wenye kubeba bendera yake,
Manjano Dream-Makers, mradi unaokusudia kuzaa kizazi kipya cha
wajasiriamali wanawake kwa kutumia kipodozi cha LuvTouch Manjano tu.
Shear illusions ilikusanya wanawake takriban 450 wa Kitanzania
kusherehekea miaka 10 ya safari ya kumfurahisha kila mwanamke, pamoja na
kuzindua kipodozi pendwa cha LuvTouch Manjano iliyobuniwa na Shekha
Nasser, mmiliki wa Shear illusions. Pamoja na uzinduzi huo, alizundua
pia kitabu cha muongoza kwa kina mama kuonyesha jinsi ya kujipodoa
kitaalam kwa kutumia nyenzo na vipodozi sahihi.
Afisa
Mtendaji Mkuu wa Shear illusions Ltd. Mama Shekha Nasser Katikati
akiongea Mgeni Rasmi a Mke wa Waziri Mkuu Mh Mama Tunu Pinda (Kulia)
Pamoja na Mtoa Mada kwenye Halfa hiyo Mh Balozi Mwanaidi Majaar
Balozi wa
Manjano Foundation Irene Paul Wakati wa Uzinduzi wa Taasisi ya Manjano
Foundation Pamoja na Uzinduzi wa Vipodozi Pendwa vya Luv Touch. 

Balozi wa Manjano Foundation Irene Paul (Kulia) Akiwa n Mtoa Mada katika Halfa hiyo Mama Rehema Kasule Kutoka Uganda
Msanii
aliyetumbuiza Kwenye Halfa Hiyo Brian Mugenyi akitoa Burudani ya aina
yake kwenye Halfa hiyo iliambatana na Uzinduzi wa Vipodozi vya Luv
Touch
Wageni waalikwa walioshiriki katika halfa ya Uzinduzi wa Taasisi ya Manjano Foundation
Mshereheshaji wa Halfa Hiyo Ndugu Angela Bongo akiwa na Msanii aliyetumbuiza Kwenye Halfa Hiyo Brian Mugenyi
Afisa
Mtendaji Mkuu wa Shear illusions Ltd. Mama Shekha Nasser wa Pili
Kushoto akiwa Mgeni Rasmi a Mke wa Waziri Mkuu Mh Mama Tunu Pinda wa
Pili Kulia Pamoja na Watoa Mada kwenye Halfa hiyo Mh Balozi Mwanaidi
Majaar na Mama Rehema Kasule Kutoka Uganda.
Mgeni
Rasmi a Mke wa Waziri Mkuu Mh Mama Tunu Pinda Katikati Pamoja Afisa
Mtendaji Mkuu wa Shear illusions Ltd. Mama Shekha Nasser wa Kushoto
na Mtoa Mada kwenye Halfa hiyo Mama Rehema Kasule Kutoka Uganda.
wageni walikwa
wageni Waalikwa waliungana na Mama Shear kumuunga Mkono Mwanamke Mwenzao
aliyepiga Hatua kubwa na Kuanzisha Taasisi ya Kumwezesha Mwanamke wa
Kitanzania
Comments
Post a Comment