MAKALIO YA MSANII YAWA KIGEZO CHA KUPATA KAZI KWENYE RUNINGA.


Gigy Money msanii wa kike anaye chipukia amepewa shavu na kituo cha EATV kutangaza kipindi cha Friday Night Live.Kigezo pekee ni uwezo binafsi wa kuzungusha maumbile yake.Kila mwisho wa kipindi amekua akilaumiwa na watazamaji kuwakwaza jinsi ya uvaaji wake naye huwajibu apangiwi maisha na uvaaji na mtu,Yako wapi maadili ya utangazaji.Hii ni dalili ya kipindi kuishiwa mvuto kuanza kutumia maumbile ya watu.Uwezo wa kuuliza maswali wageni walikwa bado nao ni tete.


Comments

Popular posts from this blog

PICHA ZA UTUPU ZILIZOPIGWA NA MWANAFUNZI WA UDOM ILI KUTANGAZA SOKO LA MWILI WAKE. TAZAMA HAPA

ZITTO KABWE AWAPONDA LOWASSA NA MAGUFULI