KINANA KUANZA ZIARA KESHO KUELEKEA KAGERA, GEITA ,MWANZA
Katibu wa NEC Itikadi na Uenezi CCM
Taifa, Nape Nnuye akizungumza na waandishi wa habari ambapo alizungumzia
ratiba ya ziara ya Katibu Mkuu wa CCM Taifa Ndugu Abdulrahman Kinana
katika mikoa mitatu ,Kagera,Geita na Mwanza itakayoanza tarehe 4 June.
Waandishi wa habari wakimsikiliza Katibu wa NEC Itikadi na Uenezi Nape Nnauye
Katibu wa Itikadi na Uenezi Nape Nnauye
akionyesha picha ya muonekano wa basi maalum litakalotumika kwenye ziara
ya Katibu Mkuu wa CCM Taifa kuelekea mkoani Kagera.
No comments:
Links to this post