JOKATE KIDOTI AMTEMA KIMAPENZI ALI KIBA


Mrembo na Mwanamuziki Jokate Amejibu Swali ambalo wengi walikuwa wanapenda kusikia kama kweli yeye na Ali Kiba ni Wapenzi ama ni Project tu....Katika Mohojiano na Gazeti la Champion jokate amejibu hivi:Wewe na Ali Kiba mna uhusiano gani?
Tuna uhusiano mzuri sana kwenye kazi kiasi

kwamba anaweza kunishauri mahali ambapo ninakwenda ndivyo sivyo, mimi pia hufanya hivyo pindi anapohitaji ushauri, kwenye maisha binafsi mimi na Ali Kiba ni washikaji wakubwa tena sana na siyo kimapenzi kama watu wengi ambavyo wamekuwa wakizungumza vitu ambavyo havina ukweli wowote. 

Comments

Popular posts from this blog