ISIS WAMWUA MFUNGWA BAADA YA KUJICHIMBIA KABURI LAKE

Mfungwa akichimba kaburi lake.
...Akiwa amepewa fursa ya kuongea na watu awatakao.
Mfungwa (mguu wake ukionekana kushoto chini) akiwa ameanguka kaburini baada ya kuuawa.
Muuaji akifukia mwili wa mfungwa aliyeuawa.
MFUNGWA ambaye wapiganaji wa kundi la ISIS lilimtuhumu kuwa jasusi wa Israel (Mossad) hivi majuzi aliuawa kwa kupigwa risasi kichwani katika jangwa la Sinai, Misri.
Kwa mujibu wa video zilizopatikana, mfungwa huyo anaonekana akiwa amesimama katika shimo akichimba kaburi lake, akapigwa risasi nyuma ya kichwa na kusukumiziwa katika kaburi hilo.
ISIS wamesema mtu huyo alikuwa anafanya ujasusi na kuripoti kwa serikali ya Israel kuhusu shughuli za ISIS eneo hilo la Misri.

Comments

Popular posts from this blog