WAZIRI MKUU PINDA AKUTANA NA DANGOTE
Waziri
Mkuu, Mizengo Pinda akizungumza na Mwekezaji kutoka Nigeria anayejenga
kiwanda cha saruji mkoani Mtwara, Bw.Aliko Dangote (kulia kwake) na
ujumbe wake, ofisini kwake jijini Dar es salaam Aprili 30, 2015. Watatu
kushoto ni Balozi wa Nigeria nchini, Dkt. Ishaya Samaila Majanbu.(Picha
na Ofisi ya Waziri Mkuu)Waziri
Mkuu, Mizengo Pinda akiwa katika picha ya pamoja na Mwekezaji kutoka
Nigeria anayejenga kiwanda cha saruji mkoani Mtwara, Bw.Aliko Dangote
(kulia kwake) na ujumbe wake baada ya mazungumzo yao, ofisini kwake
jijini Dar es salaam April 30, 2015. Kushoto kwake ni balozi wa Nigeria
nchini, Dkt. Ishaya Samaila Majanbu. (picha na Ofisi ya Waziri Mkuu)Waziri
Mkuu, Mizengo Pinda akiagana na Mwekezaji kutoka Nigeria anayejenga
kiwanda cha saruji mkoani Mtwara, Bw.Aliko Dangote (kushoto) na balozi
wa Nigeria nchini, Dkt. Ishaya Samaila Majanbu (kulia) baada ya
mazungumzo yao ofisini kwa Waziri Mkuu jijini Dar es salaam Aprili 30,
2015. (picha na Ofisi ya Waziri Mkuu)
Comments
Post a Comment