BARAZA LA TAIFA LA ELIMU YA UFUNDI(NACTE)LINAKARIBISHA MAOMBI YA KUJIUNGA NA UALIMU 2015/2016
Katibu
Mtendaji wa Baraza la Taifa la Elimu ya Ufundi (NACTE) Dkt. Primus
Nkwela (kushoto) akiongea na waandishi wa habari (hawapo pichani) kwenye
Makao makuu ya ofisi hizo Mikocheni B jijini Dar es Salaam, Wakati
akiutangazia Umma juu ya kukaribisha maombi ya kujiunga na mafunzo ya
Ualimu kwa mwaka wa masomo 2015/2016 kwa vijana waliomaliza kidato cha
Nne Oktoba 2014. na wengine wenye sifa mbalimbali kama zinavyopatikana
kwenye tovuti ya baraza hilo:www.necte.go.tz.Waombaji ;
watakao omba kabla ya tarehe 10 Aprili 2015 wataruhusiwa kujiunga na
mafunzo mnamo Aprili 15 2015 kwenye vyuo mbali mbali kama
vinavyopatikana kwenye tovuti yao.Kulia ni Katibu msaidizi wa Baraza
hilo Ramadhani Samainda.
Katibu
Mtendaji wa Baraza la Taifa la Elimu ya Ufundi (NACTE) Dkt. Primus
Nkwela (kulia) akifafanua jambo kwa waandishi wa habari pichani katika
Makao makuu ya ofisi hizo zilizopo Mikocheni B jijini Dar es Salaam,
wakati akiutangazia Umma juu ya kukaribisha maombi ya kujiunga na
mafunzo ya Ualimu kwa mwaka wa masomo 2015/2016 kwa vijana waliomaliza
kidato cha Nne Oktoba 2014. na wengine wenye sifa mbalimbali kama
zinavyopatikana kwenye tovuti ya baraza hilo:www.necte.go.tz.Waombaji ;
watakao omba kabla ya tarehe 10 Aprili 2015 wataruhusiwa kujiunga na
mafunzo mnamo Aprili 15 2015 kwenye vyuo mbalimbali kama vinavyopatikana
kwenye tovuti yao.
Baadhi
ya waandishi wa habari wakifatilia hotuba ya Katibu Mtendaji wa Baraza
la Taifa la Elimu ya Ufundi (NACTE) Dkt. Primus Nkwela (hayupo pichani)
alipokuwa akiongea na vyombo vya habari katika Makao makuu ya ofisi
hizo zilizopo Mikocheni B jijini Dar es Salaam,Kuhusiana na kukaribisha
maombi ya kujiunga na mafunzo ya Ualimu kwa mwaka wa masomo 2015/2016
kwa vijana waliomaliza kidato cha Nne Oktoba 2014. na wengine wenye
sifa mbalimbali kama zinavyopatikana kwenye tovuti ya baraza hilo:www.necte.go.tz.Waombaji ;
watakao omba kabla ya tarehe 10 Aprili 2015 wataruhusiwa kujiunga na
mafunzo mnamo Aprili 15 2015 kwenye vyuo mbalimbali kama vinavyopatikana
kwenye tovuti yao.Baadhi
ya wafanyakazi wa Baraza la Taifa la Elimu ya Ufundi (NACTE)
waliohudhuria katika mkutano wa waandishi wa habari na Katibu mtendaji
wa Baraza hilo Dkt. Primus Nkwela(hayupo pichani) alipokuwa akiongea na
vyombo vya habari Makao makuu ya ofisi hizo zilizopo Mikocheni B jijini
Dar es Salaam,Kuhusiana na kukaribisha maombi ya kujiunga na mafunzo ya
Ualimu kwa mwaka wa masomo 2015/2016 kwa vijana waliomaliza kidato cha
Nne Oktoba 2014. na wengine wenye sifa mbalimbali kama zinavyopatikana
kwenye tovuti ya baraza hilo:www.necte.go.tz.Waombaji ;
watakao omba kabla ya tarehe 10 Aprili 2015 wataruhusiwa kujiunga na
mafunzo mnamo Aprili 15 2015 kwenye vyuo mbalimbali kama vinavyopatikana
kwenye tovuti yao.
Comments
Post a Comment