KIBAKA WA BODABODA AFA KWA KUCHOMWA MOTO DAR KWA KUIBA MKOBA





Mwendesha bodaboda akiendelea kuteketea kwa moto baada ya kuchomwa na wananchi wenye hasira katika eneo la Mlimani City jijini Dar es Salaam, juzi jioni ambapo alidaiwa kumpora mkoba dada mmoja na kujaribu kukimbia.Wananchi wenye hasira katika eneo la Mlimani City jijini Dar es Salaam, juzi jioni walimchoma moto mwendesha bodaboda aliyekuwa amempakiza mwenzake ambao wanadaiwa kumpora mkoba dada mmoja na kujaribu kukimbia.
Wawili hao wakiwa kwenye harakati kukimbia wananchi hao waliwazingira ambapo aliyepakizwa aliruka na kufanikiwa kukimbia lakini aliyekuwa akiendesha alidhibitiwa na kupewa kipondo kikali na kuchomwa moto na bodaboda yake

Comments

Popular posts from this blog

PICHA ZA UTUPU ZILIZOPIGWA NA MWANAFUNZI WA UDOM ILI KUTANGAZA SOKO LA MWILI WAKE. TAZAMA HAPA

ZITTO KABWE AWAPONDA LOWASSA NA MAGUFULI