AUNTY EZEKIEL AFUNGUKA JUU YA BABA MTOTO WAKE.....
Aunty Ezekiel aamua kumchana aliemtundika na mimba yake na baba wa mtoto wake….
Hivi aunty anatukanwa sababu ya kuzaa na dancer wa Diamond au sababu ya kuzaa huku ana mume? I think kosa la aunty hapa ni kutokuweka
wazi status ya ndoa yake. Im sure keshaachana na mumewe kitambo mpaka akabeba mimba. Kwa kuwa yeye ni star angetoa tamko tu kwamba aliachana na mumewe kipindi cha nyuma ndo kaamua kuzaa na mtu mwingine. Hilo la kuzaa na dancer si mnajitiaga kusema kuwa mapenzi hayachagua kipato sasa mbona huyu mnamsakama kazaa na dancer….lol….
Mwisho wa siku mie naona bora Aunty hata mtoto wake ana baba na mimba yake ina mleaji angalau hata yuko proud na mimba yake… Jamani raha ya mimba iwe na mleaji hata kama hana kipato kikubwa. Raha ya mimba ni mwanamke kushika kiuno na kupeleka tumbo watu walione vizuri. Raha ya mimba kuwa proud na tumbo lako. Maana kuna wengine mimba zao kama za watoto wa sekondari inabidi ajifiche mienzi 9 mtu asiione. hahahhaha… Si mnajua wanafunzi wakipata mimba wanavyoficha sababu ya aibu. Sasa kuna wengine vizee kama kina Mange hapa ila mpaka leo wakibeba mimba inabidi wajifiche fiche hata clinic waende kwa siri maana mimba hazina waleaji.hahahha……. Mumuache aunty angalau mimba yake imekubaliwa, na mwenye mimba yake yupo proud. Maana kuna wengine Im sure hao waliowapa mimba hawataki hata kujulikana. Hivi kweli mtu wewe mwenyewe wanao hawana baba, miaka karibia 40 ila huwezi hata kuenjoy mimba zako maskini, inabidi ujifiche fiche mienzi 9 all because wababa hawaeleweki. Kuolewa ndo kabisaaaa,,,,,lol…..
Watu hawana huruma alafu. Hivi unajua kipindi cha mimba mwanamke anakuwa sensitive sana. Sio fresh kumsakama mtu akiwa na mimba. Yani bora mumuache azae ndo muanze kumsema. Ndo maana wenyewe wanajificha kipindi cha mimba maana wanajua jinsi inavyouma unavyokuwa na mimba alafu unasakamwa na watu unaweza kwenda labor before time…
Comments
Post a Comment