HAYA NDIYO MADHARA YA KUKU WA KISASA

Kwa muda mrefu watu wengi amekuwa wakiwafakamia kuku hawa pasipo kujua madhara yao. 
Je umewahi kujiuliza na kutafakari madhara ya ndege hawa watamu??? Yatambue madhara yake hapa. 
Kuku hawa tofauti na kuku wa kienyeji hukua kwa haraka sana kutokana na vyakula vya kemikali nyingi walishwazo.ndani ya miezi miwili kuku hawa huwa tayari kwa kitoweo tangu watotolewapo.tena hutotolewa kwa mashine. 
wakati kuku wa kienyenj huchukua hadi miezi nane kuwa tayari kwa kitoweo,na hutotolewa na mama zao.
MADHARA YAKE NI HAYA. 
1.Kwa watoto kukua kwa haraka na kupevuka kimaumbile mapema mno.
 2.Kwa Wakubwa;wanaume kunenepa sana na kuota matiti kama wanawake.
3.Kwa wanawake;kuota ndevu kama wanaume,kuwa na vipara kicchwani,na miili legelege kwa wote. 
JE,WAJUA NA NINI MAONI YAKO?

Comments

Popular posts from this blog