BREAKING NEWS: WATU WANNE WAFARIKI KATIKA AJALI YA HELIKOPTA HUKO GOMBO LA MBOTO JIJINI DAR!


Name:  jf.jpg
Views: 0
Size:  178.8 KBMuonekano wa Helikopta eneo la Gonga la Mboto jijini Dar. 

Name:  jf2.jpg
Views: 0
Size:  163.2 KB

Wananchi wakiwa eneo la tukio baada ya Helikopta kuanguka. Helikopta imeanguka leo eneo la Gongo la Mboto, Moshi Bar jijini Dar, kuna watu wanadaiwa kufariki dunia lakini polisi hawajatoa taarifa rasmi juu ya tukio hili.

Comments

Popular posts from this blog