RAIS KIKWETE AKUTANA NA WASAANI NYOTA WA FILAMU NA MUZIKI KUTOKA NCHINI MAREKANI JIJINI DAR LEO
Rais
Jakaya Mrisho Kikwete akiongea na wasanii nyota wa filamu na muziki
kutoka Marekani walioko nchini kwa ziara ya kutoa mafunzo kwa wasanii
wa Tanzania. Wasanii hao ni na Terrence J. Jenkins, mwendeshaji wa
kipindi cha muziki kwenye televisheni ya E! Entertainment (wa pili
kulia) Chaka Zulu, Mtendaji wa Shughuli za Muziki kutoka Kampuni ya
Disturbing The Peace Records (wa pili kushoto) na Davis Banner,
mwigizaji, mwanamuziki, mtunzi na msimamizi wa shughuli za muziki ambaye
amepata kushinda tuzo maarufu ya Grammy.
Rais
Jakaya Mrisho Kikwete akitumia simu yake ya mkononi kuwaonesha vivutio
vya kitalii wasanii nyota wa muziki na filamu wa Kimarekani walioko
nchini kwa ziara ya kutoa mafunzo kwa wasanii wa Tanzania. Wasanii hao
ni Terrence J. (Jenkins), mwendeshaji wa kipindi cha muziki kwenye
televisheni ya E! Entertainment, mwigizaji wa filamu na mtunzi wa vitabu
na Revi Shelton, Mtendaji wa Shughuli za Muziki katika Kampuni ya
Outlet Media Group. Wengine ni Chaka Zulu, Mtendaji wa Shughuli za
Muziki kutoka Kampuni ya Disturbing The Peace Records na Davis Banner,
mwigizaji, mwanamuziki, mtunzi na msimamizi wa shughuli za muziki ambaye
amepata kushinda tuzo maarufu ya Grammy.
Rais
Jakaya Mrisho Kikwete akiongea na wasanii nyota wa muziki na filamu
kutoka Marekani walioko nchini kwa ziara ya kutoa mafunzo kwa wasanii wa
Tanzania. Wasanii hao ni Terrence J. (Jenkins), mwendeshaji wa
kipindi cha muziki kwenye televisheni ya E! Entertainment, mwigizaji wa
filamu na mtunzi wa vitabu na Revi Shelton, Mtendaji wa Shughuli za
Muziki katika Kampuni ya Outlet Media Group. Wengine ni Chaka Zulu,
Mtendaji wa Shughuli za Muziki kutoka Kampuni ya Disturbing The Peace
Records na Davis Banner, mwigizaji, mwanamuziki, mtunzi na msimamizi wa
shughuli za muziki ambaye amepata kushinda tuzo maarufu ya Grammy.PICHA NA IKULU.
wakiwa katika picha ya Pamoja
Comments
Post a Comment